Ushauri pleaseeeee....

Ushauri pleaseeeee....

- Jaribu kutafuta source ya hela alizojengea
- Washirikishe wanandugu

Ukishapata hiyo source ndio itakuwaje? uwashirikishe ndugu kufanya nini? huna haja ya kuhangaika, mkumbatie mkeo, mpe busu la hongera mmepata nyumba, maisha yaendelee.... siku zote jitahidi kuishi kwa kutafuta amani ya roho... sio kutafuta msongo wa moyo
 
Maswali mengine ya kujiuliza,
1. Ana kipato? kinakidhi alichokifanya?
2. mmekubalianaje juu ya vipato vyenu?
3. Mnakusanya mali ya familia au kila mtu anaandika jina lake kwenye kila anachonunua kinachostahili kuandikwa?
4. Ana uhuru gani wa kufanya investment zake binafsi?
5. Kuna mabadiliko yoyote ya kimuenendo ukitrace back? Vipi ushiriki wake kwenye mambo ya msingi ya kifamilia kulinganisha na zamani?
6. Unapoyumba kiuchumi anatoa sapoti yoyote au analalamika hana kitu huku anajenga??
7. Je wazazi wake au ndugu zake wanajua? na kama wanajua wanalijuaje hilo? kama kitu cha kwake cha makazi yajayo au investment au kawajengea wanawe au nduguze???
8 Rafikize wanajua, wanalijuaje???
Etc etc etc

Mkuu ukijiuliza kwa makini hayo maswali na mengine then ukajijibu utapata kitu zaidi.

Thanks mkuu but hiyo nia ndo hata mie nimeshindwa kui ng'amua, na mpaka sasa hajanambia ujue, ni baada ya fundi langi wake mmoja kujichanganya na kuja kunidai malipo yao ndo nikashtuka, ikabidi ni lounch investigation ya nguvu, nikafika mpaka kwa iyo nyumba.
 
Wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, Ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.

USHAURI please coz yamenikuta

kama ameweza kukuficha kwa hilo basi ujue kuna mengi zaidi ya hilo atakuficha!!!
cha kufanya hapo jifanye huna habari na mambo yake halafu kuwa msiri zaidi yake katika mambo yako!!!!
 
Maswali mengine ya kujiuliza,
1. Ana kipato? kinakidhi alichokifanya?
2. mmekubalianaje juu ya vipato vyenu?
3. Mnakusanya mali ya familia au kila mtu anaandika jina lake kwenye kila anachonunua kinachostahili kuandikwa?
4. Ana uhuru gani wa kufanya investment zake binafsi?
5. Kuna mabadiliko yoyote ya kimuenendo ukitrace back? Vipi ushiriki wake kwenye mambo ya msingi ya kifamilia kulinganisha na zamani?
6. Unapoyumba kiuchumi anatoa sapoti yoyote au analalamika hana kitu huku anajenga??
7. Je wazazi wake au ndugu zake wanajua? na kama wanajua wanalijuaje hilo? kama kitu cha kwake cha makazi yajayo au investment au kawajengea wanawe au nduguze???
8 Rafikize wanajua, wanalijuaje???
Etc etc etc

Mkuu ukijiuliza kwa makini hayo maswali na mengine then ukajijibu utapata kitu zaidi.

Maswali ni mengi ulomtengea na yanaweza kukuza tatizo; hapa tunahitaji kulichukulia suala hili kama jambo la kawaida ili ndoa iweze kudumu; vinginevyo tunatafuta matatizo kwenye ndoa ya hawa wawili wapendanao wenye kipato.

Haya mambo ya kufuatilia kuna wanandoa waliachana kwa sababu mke kaonekana amevaa saa na mmewe hajui imetoka wapi na kibaya mme hakuwa na saa (hii ni miaka ya 1996)
 
Ukishapata hiyo source ndio itakuwaje? uwashirikishe ndugu kufanya nini? huna haja ya kuhangaika, mkumbatie mkeo, mpe busu la hongera mmepata nyumba, maisha yaendelee.... siku zote jitahidi kuishi kwa kutafuta amani ya roho... sio kutafuta msongo wa moyo

kwa nyongeza hapo:
N = Ndani
D = Daima
O = Ombeni
A = Amani
 
Mna ndoa ya muda gani na pia mna watoto?
  • Probably anajua kuwa una jua (kupitia kwa fundi rangi)
  • Ask yourself why she is doing it
  • Amewahi kuhisis kuwa una wanawake wengine nje ya ndoa
  • Ask her about the project (at site). (Siku moja mchukue mwende wote site and ask her )
  • The sooner the better
 
Ukishapata hiyo source ndio itakuwaje? uwashirikishe ndugu kufanya nini? huna haja ya kuhangaika, mkumbatie mkeo, mpe busu la hongera mmepata nyumba, maisha yaendelee.... siku zote jitahidi kuishi kwa kutafuta amani ya roho... sio kutafuta msongo wa moyo

Umenena bi dada
 
Wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, Ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.

USHAURI please coz yamenikuta

Kwa kawaida mwanaume/mwanamke anajua income ya mumewe/mkewe (au atleast range ya hiyo income inajulikana). mmoja wenua anapoamua kuweka kitega uchumi mpaka kikamilike tena cha mamilioni (let say 30M) na bila mwenzake kuhusi chochote. Ina maana amepata income mpya.

Sasa cha kujiuliza hiyo income imepatikanaje? kihalali au sio! kama ni kiuhalali suala linajadilika, ial income imepatikana kwa njia za mkato mi nakushauri anza kufunga mizigo yako wenye mali wanakuja!
 
Wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, Ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.

USHAURI please coz yamenikuta[/QUOTE

pole sana, suprise hizi siyo nzuri hasa kwa wanandoa...jiandae kupambana na changamoto.
Maswali ya msingi kumwuliza:
Kwa nini amefanya hivyo?
Je hati ya kiwanja inasomekaje?
Je kipato kinamruhusu?
.............................
 
inategemea na mahusiano yenu wawili yakoje................
usipanic cha msingi wewe kaa nae mtie moyo kwamba kakusaidia na sasa ichukue kama ni sehem ya mali ya familia maisha mengine yaendelee,
 
Maswali mengine ya kujiuliza,
1. Ana kipato? kinakidhi alichokifanya?
2. mmekubalianaje juu ya vipato vyenu?
3. Mnakusanya mali ya familia au kila mtu anaandika jina lake kwenye kila anachonunua kinachostahili kuandikwa?
4. Ana uhuru gani wa kufanya investment zake binafsi?
5. Kuna mabadiliko yoyote ya kimuenendo ukitrace back? Vipi ushiriki wake kwenye mambo ya msingi ya kifamilia kulinganisha na zamani?
6. Unapoyumba kiuchumi anatoa sapoti yoyote au analalamika hana kitu huku anajenga??
7. Je wazazi wake au ndugu zake wanajua? na kama wanajua wanalijuaje hilo? kama kitu cha kwake cha makazi yajayo au investment au kawajengea wanawe au nduguze???
8 Rafikize wanajua, wanalijuaje???
Etc etc etc

Mkuu ukijiuliza kwa makini hayo maswali na mengine then ukajijibu utapata kitu zaidi.
achenim kuwa na -ve connotation kwa kila kitu. mambo mengine ni simpo sana.
huyu mume anapaswa amkumbatie mkewe tena kwa busu motomoto ampe hongera mkewe kwa ujasiri na moyo wa bidii kisha sasa na yeye amwonyeshe kwamba ni mume bora kwa kumtia moyo zaid.
 
Mkuu haya maswali ni muhimu na yatasaidia kuestablish nia ya mkewe. ili kurahisisha hii kitu. kwa sababu anaweza kureact vibaya kumbe mkewe ana nia njema kabisa tena yenye kuleta manufaa, swali litabaki unajuaje hio nia sasa. ndo kwa kujaribu kujiuliza maswali ya udadisi udadisi.

Japo akili za kuambiwa anachanganya na za kwake mkuu.

Maswali ni mengi ulomtengea na yanaweza kukuza tatizo; hapa tunahitaji kulichukulia suala hili kama jambo la kawaida ili ndoa iweze kudumu; vinginevyo tunatafuta matatizo kwenye ndoa ya hawa wawili wapendanao wenye kipato.

Haya mambo ya kufuatilia kuna wanandoa waliachana kwa sababu mke kaonekana amevaa saa na mmewe hajui imetoka wapi na kibaya mme hakuwa na saa (hii ni miaka ya 1996)
 
Kama una hasira kama mimi peleka your gun police until this is settled

silaha.jpg
 
HERE WE ARE AGAIN!
kwanini huwa mnawazia negativity tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
aaargh!
 
Mkuu sio kila ndugu au rafiki anafaa kushirikisha kitu. azingatie hilo sana. Ila kwa sasa naona kama atakuwa amewahi sana kwa maana nia ya mke yawezekana ni nzuri tu ila tatizo ni kutokumshirikisha mzee.

hasa ukizingatia jamaa ni bia bora...
 
Pengine maisha na mumewe yamemshinda anajianda kuomba talaka baada ya nyumba kukamilika??? who knows.
Pengine pia ni kwa manufaa yao wote? ndio maana nkasisitiza kujua nia ni muhimu maana hakutamuacha na maswali.

Nani aujuaye moyo wa mwanadamu basi dada yangu?? Mioyo hii iliojaa tabia za kufisha?
Nadhani ndo maana maandiko yanasema Mungu huichunguza mioyo yetu iti ang'amue nia zetu (either kuzibariki au kutuandikia dhambi au kutuhukumu). Maana Mungu anadeal na nia zetu.

Back
Top Bottom