LILENDI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 1,400
- 497
Mkuu hatua ya kwanza ni kumpongeza,ni wachache sana wenye mawazo ya kujenga,tena out kubwa ili umpongeze kwa dhati then jadiliana nae ikiwezekana kama documents zina jina lake basi muipangishe hela inayopatikana jengeni nyingine documents zikiwa kwa jina lako,HAPO SAWA?
bold: kwa nini? huwa haiwezekani kuweka umiliki wa pamoja?