Ushauri please.

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Kuna kademu kamoja mimi napiga ila najua nako huwa kanapiga kazi zake za nje na ushahidi ninao. Ila mimi sitaki kukaacha mazima nataka niwe on and off yaani sitaki kubeba bendera. Shida kenyewe kameshakolea kwangu wakati huo huo kanatoa pia uroda nje kwa chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaati. JE WADAU NIFANYEJE ili nisiwe mbeba bendera na wakati huo huo nikitaka huduuma niwe napata.
 
Kweli bongo bila ngoma haiwezekani! Jitahidi mwana keep kuwa off and on,maana ARV zipo za kumwaga.
 
Wewe hata huelewi maana ya kukolea! Kakolea kwako afu huko nje anaenda kukata kiu ya mishkaki? Na unataka ushauri gani tena, muulize mkeo atakushauri usifanye yapi manake wewe umeshika bendera kwake wakati na yeye nje ana kipeperushi tu.
 
Kuna kademu kamoja mimi napiga ila najua nako huwa kanapiga kazi zake za nje na ushahidi ninao. Ila mimi sitaki kukaacha mazima nataka niwe on and off yaani sitaki kubeba bendera. Shida kenyewe kameshakolea kwangu wakati huo huo kanatoa pia uroda nje kwa chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaati. JE WADAU NIFANYEJE ili nisiwe mbeba bendera na wakati huo huo nikitaka huduuma niwe napata.
Kwani unapiga wangapi kwa staili hii?
 
Wewe hata huelewi maana ya kukolea! Kakolea kwako afu huko nje anaenda kukata kiu ya mishkaki? Na unataka ushauri gani tena, muulize mkeo atakushauri usifanye yapi manake wewe umeshika bendera kwake wakati na yeye nje ana kipeperushi tu.

Hapana King'asti kamekolea ni kwamba hivi videmu vya dot com havitosheki kabisa hata upigeje mkuu.
 
Kuna kademu kamoja mimi napiga ila najua nako huwa kanapiga kazi zake za nje na ushahidi ninao. Ila mimi sitaki kukaacha mazima nataka niwe on and off yaani sitaki kubeba bendera. Shida kenyewe kameshakolea kwangu wakati huo huo kanatoa pia uroda nje kwa chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaati. JE WADAU NIFANYEJE ili nisiwe mbeba bendera na wakati huo huo nikitaka huduuma niwe napata.

Fanya kama unavofanya sahzi, c unakula wakati unajua analiwa? Basi endelea hvohvo....
 
U know exactly wht to do, u jast act like u don't.. Ukianza kuharisha ovyo utujuze pia..
 
inawezekana wewe ndo umekolea.
Ila hizi si zama za ukweli na uwazi aka zama za kuvunja ukimya.? Mwambie tu huyo 'demu' ukweli
 
Wewe hata huelewi maana ya kukolea! Kakolea kwako afu huko nje anaenda kukata kiu ya mishkaki? Na unataka ushauri gani tena, muulize mkeo atakushauri usifanye yapi manake wewe umeshika bendera kwake wakati na yeye nje ana kipeperushi tu.

kwa lugha nyepesi,hajakolea kwako mkuu,she is just pasing lust.
 
Back
Top Bottom