Ushauri please: Vidume vyangu vinadundana balaa

Thanks so much mkuu.
 
Kumbe wewe ni mfupi[emoji23][emoji23]
 
Kawaida tu, mimi nina vidume viwili yaani ni mkono kwa kwenda mbele,na wanapenda sana chanel ya Kombat hapo ni ngumi tu.
 
Ni kawaida kwa umri wao nakumbuka mimi na mdogo wangu tulikua kama UKAWA na ccm ni vita daily mpaka tulipofika umri fulani ndio tukaanza kuwa wapole.
 
hapo kuna mmoja kachukua tabia za udhibiti wa hasira kutoka kwa baba na mwingine kwa mama.....
jitathmini na mzazi mwenzako....
 
Ndio wanatengeneza chemistry watakuja kupatana sana baadae.

Na wakizidi kupata akili watakupenda na kukujali sana mama yao kuliko baba yao. Ndio asili mtoto wa kiume anajivunia mama na mtoto wa kike anajivunia baba
 
Du nimefungua uzi haraka nikijua michepuko ndo inapgana kumbe watoto....
 
Don't feel desperate kabisa na hao vijana sababu ukisoma human growth and development hizo ni process za ukuaji , na lazima ufeel nervous kwa hiyo situation ya kila mtu anafeel pomposity kwa mwenzake, anyway

√√mara nyingi sana mpole huyo ndo anakuwaga hatari sana baadaye

√√pia mzazi mwenzako yani baba yani hiyo situation huwa wanaipenda sana, yani wazazi wa kiume Mara nyingi hupenda watoto wao was mda wote wachangamke, mara viatu vya baba kavaa yeye, jagi anapiga teke ,yani ilimradi vurugu tuu
 
Yaani hizo ngumi tu ndo zinanichocha. Wangu ni watundu naturally and I know they got it from me.
 
Umeongea vitu vya msingi sana na umefafanua vyema.
 
watoto wanaofatana mara nyingi ni hivo.....
enzi zangu ilikua haipiti siku sijapigana nipo katikati ya watoto wa kiume, leo napigana na kaka angu kesho mdogo angu ha ha ha
Ndugu umenifurahisha sanaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mume huna
 
[emoji23] [emoji23] ukinilinganisha na dogo langu ila mrefu kwako
Kweli inawezekana ukawa mrefu kwangu kwasababu siku hizi mnatumika sana...kina cha bahari ntakiweza wapi.Hongera kwa kuwa mrefu ' kuleee'[emoji23][emoji23]
 
Dah.... Mapacha wangu wa kiume wanaelewana sana.. huko mbeleni inakuwaje... ..
 
Nilivyokuwa darasa la nne nilitaka kumpeleka kaka yangu Polisi tulikuwa tunapigana sana ila alikuwa ananipa kichapo cha nguvu mpaka nilitaka kumpeleka Polisi wazazi walitushindwa nikaona msaada ni kwenda Polisi tu. Kila siku ngumi mimi nilikuwa wa pili wa kwanza bro wa tatu dogo,leo ngumi na bro kesho ngumi na dogo .
Tulivyofika sekondari ugomvi ukaisha tukaelewana.
Hata hao wa kwako watakuja kuacha na kupendana ni hali ya kawaida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…