Ushauri: Pesa ya Tanzania isiwekwe wanyama

Haina Dini kwasababu za msingi...

Serikali yenu inauongo sasa Dini inasema kweli...

Ndo maana wakiona mijadala ya dini wanatafuta watu wa dini fastaa wanazima...

Mpaka akili zenu zikae sawa ndio mtajua mnaibiwa...
 
Mbona muda unakaribia...

Wala sio mbali...

Atainuka Rais ambaye anatoka kwa Mungu muumba wa nchi na vyote vilivyomo...

R.I.P Magufuli, tunajua tulio kiroho kuwa wapi ulipo...

Rais uliyemkiri Mungu bila woga...
 
Mbona muda unakaribia...

Wala sio mbali...

Atainuka Rais ambaye anatoka kwa Mungu muumba wa nchi na vyote vilivyomo...

R.I.P Magufuli, tunajua tulio kiroho kuwa wapi ulipo...
Sasa Tatizo linakuja Dini ipi ni sahihi na ndo maana unaona nchi zote zinazoamini kwenye Dini hazifiki hata 20 Dunia nziam na najua sidhami kama hata zinafika 10
 
Sasa Tatizo linakuja Dini ipi ni sahihi na ndo maana unaona nchi zote zinazoamini kwenye Dini hazifiki hata 20 Dunia nziam na najua sidhami kama hata zinafika 10
Lakini zipo...

Uwepo wa nchi hizo inatosha...

Mungu Huwa anatafuta mmoja tu kati ya kundi la wengi ..
 
Nashauri pesa za Tanzania zisiwekwe wanyama kwakuwa ni Sanamu.

Ila hizi imani hizi khaaa!!!

Usijali tutaweka picha ya sinia la pilau

Luka 20
24 Nionyesheni dinari. Ina sura na anwani ya nani? Wakamjibu, Ya Kaisari.

25 Akawaambia, Basi, vya Kaisari mpeni Kaisari, na vya Mungu mpeni Mungu.

Mungu hajali sura au michoro iliyopo kwenye dinari aka dinero aka money aka pesa n.k...

Pesa sio madhabahu kwamba imebeba image ya mungu au miungu...

Unapinga isiwepo sura ya mnyama lakini unakubali iwepo sura ya mwanadamu, je mwanadamu hawezi kuwa mfano wa sanamu?
 
Dini ni kwa ajili ya wajinga. Wenye akili hutukuza dini ili kuwatawala wajinga. Imani ya kweli ni siri wala sio dini. By the way naendaga kanisani sana ila mimi sio mshika dini ...naenda tu kwa kazi maalum
Too much is harmful, ukizidisha tu utaanza kuona kila jambo halipo sawa.
 
Mbona husemi majizi yanaapa kwa Biblia na Quran na mwisho yanamalizia " Eh Mungu nisaidie"

Halafu yakitoka yanaenda kukwapua vitita!

Au ile Eh Mungu nisaidie ina maana awasaidie kuiba, kupora ardhi, kuua wakosoaji, kuiba kura uchaguzi unaofuata?

Hebu ona kama hapa unajiuliza hii nchi inaapa kwa kumtaja huyo Mungu pesa zinalipwa bila mkataba na nchi ina watu timamu?! WTH.
 
Si Serikali yenu Haina Dini na wengi hapa wamekiri...

Hiyo Biblia wanaitumia kama kuwafurahisha, maana huwezi Kiri huna dini, alafu ukatumia Biblia...

Hujamkiri Mungu, mwenyewe anataka tumkiri kwa kinywa.

Huo ni wizi mtupuuuu!
 
Mtu asiye na dini anatakiwa aape kwa nani?

Kwani hao wanaomuamini Mungu su ndio wanaongoza kwa wizi.?

Na kuna wasiomuamini Mungu ni watu safi kabisa au hulijui hilo?

Exposure ni muhimu tembea duniani huku ujionee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreā€¦