Bora tufungwe tu na Olympiacos kuliko tufuzu then tukakutane na dhahama toka kwa Bayern,Madrid au-Barca
Karibu sana kwa washika binduki wa North London, where football is our passion.
usijali my dada hata man u ifungwe mara mia tutabaki kuwa mashabiki watiifu
kweli kabisa
we are forever UNited
tutoke droo,win or tupoteze
forever United
We liCCM banah...Tangu muwadanganye walalahoi wa Kalenga unakuja kutuchafulia majukwaa tu hapa fyuuuuuuuuuuUkitaka mahusiano yako na wanaokuzunguka yawe mazuri Usiwakwaze watu.
Jiepushe nao kabisa
Jitahidi wiki hii usigombane wala kuwakera wala kuwafanyia utani wafuatao.
Shabiki wa Manchester united,Yanga na CHADEMA!
Mambo hayaenda vizuri kwao recently
..nakuhakikishia mtatia aibu robo fainali... Nawahurumia..,
Nimependa sana huo moyo wako wa ujasiri
Ouch!!!..thought you were "Le blue"..."chelshit"..
...i wanna be next to you on Sunday, we'll make sure the bridge sinks.
we pimbi nani ccm?we liccm banah...tangu muwadanganye walalahoi wa kalenga unakuja kutuchafulia majukwaa tu.
usijali my dada hata man u ifungwe mara mia tutabaki kuwa mashabiki watiifu
kuweni watiifu mpaka team itakaposhuka daraja
hHahahahhaha we will never walk alone
Ukitaka mahusiano yako na wanaokuzunguka yawe mazuri Usiwakwaze watu.
Jiepushe nao kabisa
Jitahidi wiki hii usigombane wala kuwakera wala kuwafanyia utani wafuatao.
Shabiki wa Manchester united,Yanga na CHADEMA!
Mambo hayaenda vizuri kwao recently
Ushabiki huu? Unachanganya madesa.
Are u Man-nure? or Liver-fools??
tutoke droo,win or tupoteze
forever United
ila wajamen niwe mkwel2..,olympiakos n vbonde,ni wabovu idara zote..,barca wangejaza kapu la magoli kwa tmu km hii..,juggen klop anaweza ku2letea makombe na sio moyes mbugila