Ushauri: Niwe na mwanaume yupi kati ya hawa?

1. Kwajinsi ulivyo andika, nimeweza kungundua kwamba huyo mwanaume wa sasa anakurubuni kwa vizawadi, pamoja na maneno yenye kuangalia nini unapenda (kuolewa) ili aweze kuku funua nguo yako ya ndani.

2 . Wewe binafsi unaonekana ni mwenye tamaa ya vitu, pamoja na haraka/hamu ya kuolewa. Hivyo huyo bwana mpya amesha gundua madhaifu yako.

3 . Sijaona ukieleza sababu za maana hata kusababisha uamini kwamba bwana wako wa mwanzo hana/hainyeshi mapenzi na wewe

Ushauri:
Heri ya shetani unae mjua, kuliko shetani usie mjua.
Heri shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua
 
It's too early to judge him, ampe muda atamjua tu.

Tatizo huyo wa zamani tayari bidada kaishaona red flags
Hapana bro. Nahisi ni kwa vile wamezoeana ndio maana mashamsham hamna.

Maybe angefanya kuliupdate penzi lake kwa huyo wa zamani kuona likoje
 
Wakuu habari za mda huu,

Straight to the mada.

Mwenzenu niko njia panda kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano ni wa mda mrefu kidogo na plan zetu ni kuoana Mungu akijaalia ila mimi ndo nampenda zaidi kuliko yeye yuko kawaida tu hayuko interested na mimi kiivo inaweza pita siku tatu bila mawasiliano.

Kuna uyo mwanaume mwengine yeye sipo nae kwenye mahusiano ila ndo yupo kwenye harakati za kuniingia akilini na vizawadi vya kutosha na anaonesha interest za kutaka kunichukua jumla ila mimi ndo simpendi hata kidogo ila kwa mbali namuona kama naanza kumpenda.

Sasa apa sielewi nimuache yule wa zamani niambatane na huyu mpya au niendelee kumsubiri tu mchumba wangu wa zamani maana nahofia mwisho wa siku nitakosa vyote.

Karibuni kwa ushauri.
Sometimes mkiolewa na msiowapenda mnakuja kuwatesa baadae
 
Weka shindano la ndoa. Atakaye wahi kuoa ndo huyo.
 
Kigezo kikuu cha mwanamke ni kupendwa na si kupenda.
 
Baki na unaempenda zaid kutoka moyoni na sio according to zawad....

usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa
 
Wakuu habari za mda huu,

Straight to the mada.

Mwenzenu niko njia panda kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano ni wa mda mrefu kidogo na plan zetu ni kuoana Mungu akijaalia ila mimi ndo nampenda zaidi kuliko yeye yuko kawaida tu hayuko interested na mimi kiivo inaweza pita siku tatu bila mawasiliano.

Kuna uyo mwanaume mwengine yeye sipo nae kwenye mahusiano ila ndo yupo kwenye harakati za kuniingia akilini na vizawadi vya kutosha na anaonesha interest za kutaka kunichukua jumla ila mimi ndo simpendi hata kidogo ila kwa mbali namuona kama naanza kumpenda.

Sasa apa sielewi nimuache yule wa zamani niambatane na huyu mpya au niendelee kumsubiri tu mchumba wangu wa zamani maana nahofia mwisho wa siku nitakosa vyote.

Karibuni kwa ushauri.

Simple answer: probably none.
 
Back
Top Bottom