Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Mwanaume akikupenda, utaenjoy. Kata pua uunge wajihi kwa huyo wa pili.
😀😀😀😀😀😀😀I SEEETatizo watoto wa .com wana chamba sana hadi mwisho wa siku wanashika na mavi.... tehteehhh
Upo dogoMTAKA YOTE KWA PUPA HUKOSA YOTE..
TAMAA ZILIMSHINDA FISI
By wahenga
Nikweli mkuu mpaka kaamua kuanzisha uzi kama hivi sumu ya ujio mpya ishamuingia aseeMkuu, huyu binti hayupo njia panda, ispikua ameanza kuingiwa na tamaa.
Pia huyo bwana wa pili, tayari anaonekana amesha mpatia kwenye madhaifu ya mdada.... tehteehhh
Hahaaa. Hiyo kuanza kumpenda kaka itakuwa inasababishwa na hivyo vizawadi na hapo vikikata jua mapenzi hakuna tena.OOOH LAKINI AMESEMA ANAANZA KUMPENDA PENDA
Hapa tusubiri kilio tu, maana naona kama tembo ndio kanasa kwa gundi ya mlenda....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nikweli mkuu mpaka kaamua kuanzisha uzi kama hivi sumu ya ujio mpya ishamuingia asee
Ewaaaaa. Kumbe mnajijua jirani.Huyo wa sasa yupo kwenye kampeni lazima awe bize kuku care. Ila soon akikukula tuu ataanza ngebe zake
Nakusihi baki na huyo huyo uliyemzoea.
Wanaume tunajijua akili zetu
MAPENZI YA VIZAWADI ZAWADI AMA VIPI??Hahaaa. Hiyo kuanza kumpenda kaka itakuwa inasababishwa na hivyo vizawadi na hapo vikikata jua mapenzi hakuna tena.
Yeah. Sasa akisha kuliwa hamna zawadi tena.Ewaaaaa. Kumbe mnajijua jirani.
Hapo akishatoa ile sijui P a p a basi ajue ndio mwisho wa vizawadi.
NIPO MDOGOOUpo dogo
Nadhani hizo zawadi ndio zinafanya moyo wake unapaa.Natamani angetuambia kwanini sasa hivi ndipo anasema/anaona kwamba bwana wake wa mwanzo ni kama hana upendo nae ama hana mpango nae
Ndio kaka. Na vizawadi vikikata na mapenzi yanakata.MAPENZI YA VIZAWADI ZAWADI AMA VIPI??
Hahaaa. Ndio atakapojuta hapo.Yeah. Sasa akisha kuliwa hamna zawadi tena.
Tunahamisha majeshi
Hii kanuni si wanawake wote wanailewagaOlewa na anayekupenda zaidi.
Sijui kama watakuelewa, ingawa ni ushauri muruaMwanamke unashauriwa umpende mwanaume anaekupenda..yani ulazimishe hata kumpenda