Ushauri: Niwe na mwanaume yupi kati ya hawa?

Ushauri: Niwe na mwanaume yupi kati ya hawa?

Ebu tafakari hii sentensi yako

"Simpendi hata kidogo ila kwa mbali amuona kama naanza kumpenda"
 
Muache huyo asiyekutafuta hadi siku tatu, mfate huyo anayekuja kwa kasi, usije ukajuta baadae
 
na huyu mpya atakufunua malinda nae anasepa kama wa kwanza na watakuja wengine we wape huduma tu
 
huyo unaempenda ndo wako-mwenyeji wako mahabani......mgeni mshapinduana?
 
Wakuu habari za mda huu,

Straight to the mada.

Mwenzenu niko njia panda kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano ni wa mda mrefu kidogo na plan zetu ni kuoana Mungu akijaalia ila mimi ndo nampenda zaidi kuliko yeye yuko kawaida tu hayuko interested na mimi kiivo inaweza pita siku tatu bila mawasiliano.

Kuna uyo mwanaume mwengine yeye sipo nae kwenye mahusiano ila ndo yupo kwenye harakati za kuniingia akilini na vizawadi vya kutosha na anaonesha interest za kutaka kunichukua jumla ila mimi ndo simpendi hata kidogo ila kwa mbali namuona kama naanza kumpenda.

Sasa apa sielewi nimuache yule wa zamani niambatane na huyu mpya au niendelee kumsubiri tu mchumba wangu wa zamani maana nahofia mwisho wa siku nitakosa vyote.

Karibuni kwa ushauri.
Una mwanaume lakini bado unapokea vizawadi na hongo toka kwa wanaume wengine!

Upo kwenye biashara ya kuuza mwili wako? Utawapa papuchi yako wangapi watakaokupa zawadi?

Acha ukahaba ewe mtoto wa kike, UKIMWI unaua!!!
 
Kwenye masuala haya hua hakuna kushauriana ase, hapa we tizama tu moyo wako na mustakabali wa maisha yako ya baadae, maana ndoa sio majaribio
 
kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano ni wa mda mrefu kidogo na plan zetu ni kuoana Mungu akijaalia ila mimi ndo nampenda zaidi kuliko yeye


Kama umesema hivyo unaomba tena ushauri wanini ??
 
Kuna demu alikuwa akinikera yaani ukitaka meeting na yeye lazima akwambie "bae uje basi na zawadi" "bae ukija uje na chips kuku ninahamu" sio kwamba nilikuwa siwezi kuafford kuna siku umempelekea zawadi mara sms inaingea bae niletee kitu fulan wakati umempelekea unajua umebebatayr ukifika chakwaza hug jamani umeniletea nini hiyo stuation ikawa kama inaniharras sana kuna siku kama utani nkamuuliza utajisikiaje nakupatia zawadi pekee yaani namaanisha nikupatie zawadi tu na moyo nisikupatie hakuelewa nikarudia tena nikupe zawadi ya moyo wangu au nikupe hv nilivyoshika kwa utani akanambia nipe kwanza hvyo maana najua moyo utanipa baadae nilimpata alivyochagua nikaondoka na moyo wangu alinitafuta kila kona nikambrock after mwaka mmoja na nusu juzi kanitafuta bla bla bla kibao ulikuwa kwenye upande sahihi ni ujinga wangu kutokuelewa maneno yako yenye thamani si uje tu uwe na mimi na mpka naingia kaburini sihitaji chochote kutoka kwako, sipendi kucheza na future yake nmemwambia itz toolate i have nothn to do with you.Girl yule jamaa wa mizawadi hana lolote ni mapicha picha take it from me
 
Back
Top Bottom