Ushauri: Niwe na mwanaume yupi kati ya hawa?

Ushauri: Niwe na mwanaume yupi kati ya hawa?

jini likujualo halikuli likakwisha!

heri jini unayemjua kuliko shetani usiyemjua..
 
sio kweli, yawezeka wa zaman alimpenda kwa vile alikuwa hana jinsi ilimlazimu ampende lakn pakitokea mwingine wa kulinganisha naye ange fanya hivo.ila awe makin katka choice yake.
 
Na mimi nakutaka usinisahau bibie ..

Mwaka huu lazima uitishe bunge likusaidie.
 
Wanaume achana na sisi kabisa, tukipanga yetu kufeli huwa ni nadra sana yani huyo jamaa wa vizawadi akishakushusha sketi tu anaweza kukukimbia mazima na ukakosa kote kote.

Au Fanya hivi, endelea nao wote kwa siri kubwa sana ili ujue ni yupi anaweza kuja kukuposa, huwezi jua hapo jitoe muhanga kutoa papuchi kwa zamu.

Yawezekana kweli yule wa zamani hana malengo nawe akaja kukuoa huyu wa sasa, pia yawezekana huyu wa sasa asije kukuoa akaja kukuoa yule wa zamani.

So wekeza kote hapo pande zote mbili kwa akili kubwa.
 
amua ww na moyo wako upime wapi utakuwa salama na kupata amani ya moyo,mapenzi siyo vitu Bali ni hisia na vitendo Fanya maamuzi sahihi ambayo utajutia badae.
 
Wakuu habari za mda huu,

Straight to the mada.

Mwenzenu niko njia panda kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano ni wa mda mrefu kidogo na plan zetu ni kuoana Mungu akijaalia ila mimi ndo nampenda zaidi kuliko yeye yuko kawaida tu hayuko interested na mimi kiivo inaweza pita siku tatu bila mawasiliano.

Kuna uyo mwanaume mwengine yeye sipo nae kwenye mahusiano ila ndo yupo kwenye harakati za kuniingia akilini na vizawadi vya kutosha na anaonesha interest za kutaka kunichukua jumla ila mimi ndo simpendi hata kidogo ila kwa mbali namuona kama naanza kumpenda.

Sasa apa sielewi nimuache yule wa zamani niambatane na huyu mpya au niendelee kumsubiri tu mchumba wangu wa zamani maana nahofia mwisho wa siku nitakosa vyote.

Karibuni kwa ushauri.
Mimi nawazidi Wote, njoo kwangu!!
 
Best nina kesi na wewe ujue?
Yaan nisamehe bure best, ujue hii new version ya JF bado inanitesa, bado sipati notification yoyote best, sijui na uzee humo humo basi ni shida bin tabu, manake inabidi nipekenyue kila uzi kuona nani alinikwoti ndo nipate kujibu tena!!

Sijui simu yangu ndo kimeo au wahusika wameshindwa kurudisha notifications kama ilivokuwa mwanzo
 
Weka limit ya mda kwa wote kuwa unataka kuolewa, alie sirias utamjua ndan ya mda huo,
 
Hapana mkuu,

Hivi unadhani huyo wa vijizawadi ataendelwa hivyo hivyo akisha onja asali??
It's too early to judge him, ampe muda atamjua tu.

Tatizo huyo wa zamani tayari bidada kaishaona red flags
 
Ongea na moyo wako mapenzi hayana formular, kikawaida mtu wako utamjua tu moyo wako utakua na amani, za kuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom