SAWA SAWA DADA ILA AWE MAKININdio kaka. Na vizawadi vikikata na mapenzi yanakata.
Tatizo kujua nan anakupenda ni ngumuHii kanuni si wanawake wote wanailewaga
Kweli kabisa kaka ake.SAWA SAWA DADA ILA AWE MAKINI
Unamwingiza chaka kiongoziHuyo wa sasa yupo kwenye kampeni lazima awe bize kuku care. Ila soon akikukula tuu ataanza ngebe zake
Nakusihi baki na huyo huyo uliyemzoea.
Wanaume tunajijua akili zetu
Yeye hata hajui anampenda yupi. Yeyote tuu atakae zidisha upendo ndio....Hahaaa. Ndio atakapojuta hapo.
Mie pia namshauri atulie na yule ampendaye vizawadi si chochote.
Hapana mkuu,Unamwingiza chaka kiongozi
Hahaaa. Basi kazi anayo aisee.Yeye hata hajui anampenda yupi. Yeyote tuu atakae zidisha upendo ndio....
Hakuna mumeo hapo. Siku ukipata umpendaye kwa dhati ya moyo wako utamalizana naye kimya kimya. Kwa sasa endeleeni kupeana raha ila msivuke mstari wa Makonda.Wakuu habari za mda huu,
Straight to the mada.
Mwenzenu niko njia panda kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano ni wa mda mrefu kidogo na plan zetu ni kuoana Mungu akijaalia ila mimi ndo nampenda zaidi kuliko yeye yuko kawaida tu hayuko interested na mimi kiivo inaweza pita siku tatu bila mawasiliano.
Kuna uyo mwanaume mwengine yeye sipo nae kwenye mahusiano ila ndo yupo kwenye harakati za kuniingia akilini na vizawadi vya kutosha na anaonesha interest za kutaka kunichukua jumla ila mimi ndo simpendi hata kidogo ila kwa mbali namuona kama naanza kumpenda.
Sasa apa sielewi nimuache yule wa zamani niambatane na huyu mpya au niendelee kumsubiri tu mchumba wangu wa zamani maana nahofia mwisho wa siku nitakosa vyote.
Karibuni kwa ushauri.
Hahaaaaa. Nimecheka sana huo mstari wa Makonda Mkuu.Hakuna mumeo hapo. Siku ukipata umpendaye kwa dhati ya moyo wako utamalizana naye kimya kimya. Kwa sasa endeleeni kupeana raha ila msivuke mstari wa Makonda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna mumeo hapo. Siku ukipata umpendaye kwa dhati ya moyo wako utamalizana naye kimya kimya. Kwa sasa endeleeni kupeana raha ila msivuke mstari wa Makonda.
WeweEwaaaaa. Kumbe mnajijua jirani.
Hapo akishatoa ile sijui P a p a basi ajue ndio mwisho wa vizawadi.
Wakuu habari za mda huu,
Straight to the mada.
Mwenzenu niko njia panda kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano ni wa mda mrefu kidogo na plan zetu ni kuoana Mungu akijaalia ila mimi ndo nampenda zaidi kuliko yeye yuko kawaida tu hayuko interested na mimi kiivo inaweza pita siku tatu bila mawasiliano.
Kuna uyo mwanaume mwengine yeye sipo nae kwenye mahusiano ila ndo yupo kwenye harakati za kuniingia akilini na vizawadi vya kutosha na anaonesha interest za kutaka kunichukua jumla ila mimi ndo simpendi hata kidogo ila kwa mbali namuona kama naanza kumpenda.
Sasa apa sielewi nimuache yule wa zamani niambatane na huyu mpya au niendelee kumsubiri tu mchumba wangu wa zamani maana nahofia mwisho wa siku nitakosa vyote.
Karibuni kwa ushauri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haachi kovuivi wewe unatujua wanaume vizuri?
ukitaka kujua anakupenda au lah, mpe sambusa kwanza ale, apime nyama iliyomo ktk sambusa ni tamu au sio tamu,
akili zetu twazijua wenyewe [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16]
ila jiamini tu sio mbaya haachi kovu wala mchoro[emoji26] [emoji22]