Milioni 11 itatosha??Indoor partition planView attachment 1089230
Milioni 11 itatosha??Indoor partition planView attachment 1089230
Hizo zinajengwa kwa milioni 11??tembelea hawaView attachment 1089164
Hakuna mahali nilipomkatisha Tamaa mkuu, hapo Nanjilinji kama ni fremu za duka au room 3 inawezekana lakini siyo nyumba ya kuishi ya vyumba vitatu wewe ndiye unataka kumpotosha kuwa na uhakika na unapomshauri mtu kwa jambo la msingi kama hiliAcha kumkatisha tamaa,hiyo hela ukiwa hapa Nanjilinji unajenga vyumba 4 mpka 5
Boma utajenga na kuezeka,ila finishing hela hiyo haitoshiWakuu wataalamu wa ujenzi Nina milion 11 nahitaji kujenga nyumba ya wastani yan vyumba 3,sebule,jiko,dining na choo japo sipendi choo cha ndani ila fashen inataka kunilazimisha,,vyumba vyeye ukubwa wa kawaida kabisa maana ni nyumba yangu ya kwanza kabla sijaangalia utaratibu wa kujenga nyingine hapo baadae. Aidha kiwanja ninacho na tofali zipo pia.
MAENEO YA UJENZI: Kagera
Nimeukubali sana huu mchanganuoKagera utajenga na kuezeka na Milango utabakiza madirisha na finishing
1.Tofali za kuchoma 10,000 x 50 = 500,000
2.Bati 80 x 24,000 = 1,920,000
3.Mbao 2/4 - 100 pcs x 2500 - 250,000
4.Mbao 2/2 - 50 pcs x 1200 - 60,000
5. Misumari mbao 50kgs 200,000
6. Misumari bati kg 25 150,000
7. Nondo 12mm 15 x 24000 =360'000
8.Binding wire kg 3 x 5000 15000
9.Ring 8mm 45 pcs x 2000 45,000
10. Mawe Trip 5 x 70,000 350,000
11.Koko 2cubic 80,000
12.Cement 20 bags x 18000 = 360,000
13. Mchanga 2 Trips 70,000 = 140,000
14.Mengineyo 750,000
15.Milango na frem 8x200,000 =1,600,000
Kaka naomba unisaidie ramani yake kama tafadhali maana kwa kiwanja changu naona itafaa. Asante sana mkuu.Vipi raman hii itakufaa?View attachment 1089225
Mkuu ubarikiwe hesabu hii imenitoa tongo tongo machoniKagera utajenga na kuezeka na Milango utabakiza madirisha na finishing
1.Tofali za kuchoma 10,000 x 50 = 500,000
2.Bati 80 x 24,000 = 1,920,000
3.Mbao 2/4 - 100 pcs x 2500 - 250,000
4.Mbao 2/2 - 50 pcs x 1200 - 60,000
5. Misumari mbao 50kgs 200,000
6. Misumari bati kg 25 150,000
7. Nondo 12mm 15 x 24000 =360'000
8.Binding wire kg 3 x 5000 15000
9.Ring 8mm 45 pcs x 2000 45,000
10. Mawe Trip 5 x 70,000 350,000
11.Koko 2cubic 80,000
12.Cement 20 bags x 18000 = 360,000
13. Mchanga 2 Trips 70,000 = 140,000
14.Mengineyo 750,000
15.Milango na frem 8x200,000 =1,600,000
Indoor partition planView attachment 1089230
Mungu akutangulieMkuu ubarikiwe hesabu hii imenitoa tongo tongo machoni
Wall & roofIndoor partition planView attachment 1089230
Ila kwe mbao kazinguaNimeukubali sana huu mchanganuo
Nimejenga kijumba kidogo cha wastani ila hadi niedit baadhi ya details zangu ndio nikutumie.Kaka naomba unisaidie ramani yake kama tafadhali maana kwa kiwanja changu naona itafaa. Asante sana mkuu.
Utafanya Jambo LA busara mkuuNimejenga kijumba kidogo cha wastani ila hadi niedit baadhi ya details zangu ndio nikutumie.
Asante ila kama upo hapa Dar naweza kukutumia hadi details za vifaa na kila kitu. Kwa ujumla utaweza kujua gharama zote utakazotumia hadi kuezeka. Ila kwa mkoani gharama zinatofautiana kidogo.Utafanya Jambo LA busara mkuu
Ramani ndo hii hii ????Asante ila kama upo hapa Dar naweza kukutumia hadi details za vifaa na kila kitu. Kwa ujumla utaweza kujua gharama zote utakazotumia hadi kuezeka. Ila kwa mkoani gharama zinatofautiana kidogo.