Ushauri: Nina Tsh. Milioni 11 nataka kujenga

Ushauri: Nina Tsh. Milioni 11 nataka kujenga

kwenye ujenzi huwezi kukadiria bila kujua mteja/ anayetaka kujenga anataka kutumia vifaa gani vya ujenzi na ubora autakao. Vinginevyo ni kudanganyana. Kama ana ramani na 3D yaani muonekano halisi wa nyumba pendekezwa hapo tunaweza kumpa makadirio sahihi
Wanakuja mkuu. Japo kwa hiyo hela haitomalizika hiyo nyumba.
Haitoshi mkuu maana nyumba ya vyumba vitatu ni kubwa hiyo inatosha gharama za ufundi tu na siyo matirio
inatosha na chenji itabaki.
Kama unakojenga kwenyewe ni huko nyakibimbili utafika mbali
 
Wakuu wataalamu wa ujenzi Nina milion 11 nahitaji kujenga nyumba ya wastani yan vyumba 3,sebule,jiko,dining na choo japo sipendi choo cha ndani ila fashen inataka kunilazimisha,,vyumba vyeye ukubwa wa kawaida kabisa maana ni nyumba yangu ya kwanza kabla sijaangalia utaratibu wa kujenga nyingine hapo baadae. Aidha kiwanja ninacho na tofali zipo pia.

MAENEO YA UJENZI: Kagera

Asante kwa taarifa, watu wa Kagera Bwana
 
Bro tofari za kuchoma kwa idadi ulotaja hapo juu ni ndogo mno kulingana na ukubwa wa nyumba!

Pia mifuko ya saruji 20 bags haitoshi otherwise uniambie atajenga boma kwa tope then bim na nguzo ziwe!

Mabati ongeza idadi at least zifike 110 na bei yake inategemea ni bati ya aina gani na yenye ujazo UPI

Vitu vingi hapo ume under estimates!
Huko vijijini hakuna nguzo za zege boma hujengwa kwa tope tu
 
Kafungue fixed AC uendelee kutafuta pesa zingine
Wakuu wataalamu wa ujenzi Nina milion 11 nahitaji kujenga nyumba ya wastani yaani vyumba 3, sebule, jiko, dining na choo japo sipendi choo cha ndani ila fashen inataka kunilazimisha, vyumba vyeye ukubwa wa kawaida kabisa maana ni nyumba yangu ya kwanza kabla sijaangalia utaratibu wa kujenga nyingine hapo baadae.

Aidha kiwanja ninacho na tofali zipo pia.

MAENEO YA UJENZI: Kagera
 
Mkuu kapalamsenga wazo lako zuri xana,je ntapata faida nkiiweka fixed Acc
 
Asante ila kama upo hapa Dar naweza kukutumia hadi details za vifaa na kila kitu. Kwa ujumla utaweza kujua gharama zote utakazotumia hadi kuezeka. Ila kwa mkoani gharama zinatofautiana kidogo.
Ahsante Mkuu nimeipata ile ramani. NI NZURI.Naomba unitumie na cost estimation yake. Najaribu kukuPM lakini nashindwa.
Natanguliza shukrani
 
g
Hiyo hela ni nyingi. Itakusogeza na utafika pazuri hata kama utakuwa hujamaliza. Anza sasa. Mie bado niko kwenye msingi. Najeng nyumba nimejipa miaka minne iwe imekwisha. Kwa mwaka huu natamani msingi (wa ghorofa) uwe umekamilika.
ghorofa ngapi chief?
 
Chumba mbili inakufaa mkuu si lazima ujenge ghorofa
Chukua hii alafu fikilia kwa sehemu uliyopo itakugharimu bei gani
Screenshot_20200529-064036.jpg
Screenshot_20200528-230728.jpg
Screenshot_20200529-064104.jpg
Screenshot_20200529-064111.jpg
Screenshot_20200529-064114.jpg
Screenshot_20200529-064119.jpg
Screenshot_20200529-064122.jpg
Screenshot_20200529-064125.jpg
Screenshot_20200529-064129.jpg
 
Back
Top Bottom