Chantaburi
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 749
- 194
Sio hiyo mkuu. Nimeona kuwa unahitaji ramani ya kishkaji ndio maana nikaona nikusaidie. Ila kama unaitaka kama hiyo nashauri mtumie dm mhusika akurushie.Ramani ndo hii hii ????
Sio hiyo mkuu. Nimeona kuwa unahitaji ramani ya kishkaji ndio maana nikaona nikusaidie. Ila kama unaitaka kama hiyo nashauri mtumie dm mhusika akurushie.Ramani ndo hii hii ????
Mkuu yani nyumba unaijenga mpaka finishi na madirisha alafu itumie mifuko 20 ya cement?Kagera utajenga na kuezeka na Milango utabakiza madirisha na finishing
11.Koko 2cubic 80,000
12.Cement 20 bags x 18000 = 360,000
Kwenye mifuko katelezaMkuu yani nyumba unaijenga mpaka finishi na madirisha alafu itumie mifuko 20 ya cement?
Ha ha haa.. afadhali akajenge kwingine Kama ndivyo!Uijenge vizuri kumbuka mpo mkondo wa tetemeko
Nadhani kazingatia kuwa kule udongo pia unatumika, siyo cement pekeeMkuu yani nyumba unaijenga mpaka finishi na madirisha alafu itumie mifuko 20 ya cement?
Kujenga boma tu mifuko 20 na kule kagera vijijini wanajenga kwa kutumia udongo msingi wa mawe wanajenga na udongo juu ya msingi Wana weka mortar ya cement na mchanga kusawazisha au zege la nondo juu ya msingi wa mawe.Mkuu yani nyumba unaijenga mpaka finishi na madirisha alafu itumie mifuko 20 ya cement?
Mkuu huu ni ujenzi wa vijijinikwa utaalamu wangu wa ujenz haya makadirio sio sahihi
Kama mayoral unayo, itafanya mpaka kwenye batiAsante,,lengo langu ni kupandisha boma na kuliezeka
Asant mkuuu,lengo langu ni kupandisha boma na kuliezeka kuweka milango na madirisha grills kwanza mambo ya vioo baadae
Nimeichukua ramani yako bila malipo mkuu asante maana kipindi naleta thread ya nia ya kujenga hata ramani nlkw cna kweli jf ni msaada,nmemuonesha wife hyo ramani kaifurahia xaxa tumeanza ujenziVipi raman hii itakufaa?View attachment 1089225
HongeraWakuu sas naenda kasi sana na kaujenzi nilikowaambia,kumbe! Nyumba tunaziogopa bure!! Nkimaliza ntaileta nyumba muione wakuu
Kai_edit kwa mtaalam (mchora ramani) aingize majina yako (i.e aweke particulars) zako kabla hujaipeleka ofisi za mpango mji kupewa kibali.View attachment Ramani PDF.pdfNimeichukua ramani yako bila malipo mkuu asante maana kipindi naleta thread ya nia ya kujenga hata ramani nlkw cna kweli jf ni msaada,nmemuonesha wife hyo ramani kaifurahia xaxa tumeanza ujenzi
Iñàwezekana kwa kupàndisha ña kupauaAsante,,lengo langu ni kupandisha boma na kuliezeka
Asant mkuuu,lengo langu ni kupandisha boma na kuliezeka kuweka milango na madirisha grills kwanza mambo ya vioo baadae
Mkuu naomba unitumie hiyo ramani.Asante ila kama upo hapa Dar naweza kukutumia hadi details za vifaa na kila kitu. Kwa ujumla utaweza kujua gharama zote utakazotumia hadi kuezeka. Ila kwa mkoani gharama zinatofautiana kidogo.
Mkuu naomba unitumie hiyo ramani.
Natanguliza shukran
Bro tofari za kuchoma kwa idadi ulotaja hapo juu ni ndogo mno kulingana na ukubwa wa nyumba!Kagera utajenga na kuezeka na Milango utabakiza madirisha na finishing
1.Tofali za kuchoma 10,000 x 50 = 500,000
2.Bati 80 x 24,000 = 1,920,000
3.Mbao 2/4 - 100 pcs x 2500 - 250,000
4.Mbao 2/2 - 50 pcs x 1200 - 60,000
5. Misumari mbao 50kgs 200,000
6. Misumari bati kg 25 150,000
7. Nondo 12mm 15 x 24000 =360'000
8.Binding wire kg 3 x 5000 15000
9.Ring 8mm 45 pcs x 2000 45,000
10. Mawe Trip 5 x 70,000 350,000
11.Koko 2cubic 80,000
12.Cement 20 bags x 18000 = 360,000
13. Mchanga 2 Trips 70,000 = 140,000
14.Mengineyo 750,000
15.Milango na frem 8x200,000 =1,600,000
Flat roof houses ndio nyumba kali za wakati wote hayo mambo ya kinyenyua mapaa ni yeboyebo kwa sasaContemporary house affordableView attachment 1089906