Nyakibimbili
Senior Member
- May 4, 2019
- 185
- 286
Wakuu wataalamu wa ujenzi Nina milion 11 nahitaji kujenga nyumba ya wastani yaani vyumba 3, sebule, jiko, dining na choo japo sipendi choo cha ndani ila fashen inataka kunilazimisha, vyumba vyeye ukubwa wa kawaida kabisa maana ni nyumba yangu ya kwanza kabla sijaangalia utaratibu wa kujenga nyingine hapo baadae.
Aidha kiwanja ninacho na tofali zipo pia.
MAENEO YA UJENZI: Kagera
Aidha kiwanja ninacho na tofali zipo pia.
MAENEO YA UJENZI: Kagera