Ushauri: Nina mpango wa kujiunga AIM Global

evart,
Ujinga ni tatizo kubwa Sana hii nchi, "Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa"
 
Asante kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa yeyote anaesumbuliwa maradhi yeyote mwilini karibuni Sana,,pia kwa yeyote anaesumbuliwa na kipato mfukoni, mshahara haukuti mshara mwingine, karibu uijue nguvu ya muda wako wa ziada, kwa Tsh, yako 40,000/ au 140,000/unakuwa billionaire.contact me, by 0682192752. Tofout kabisa na imglobal,forever,oriflame,qt,gnld,edmark,crystal cell,n.k hii ndio biashara ya Karne 21ist huajili mtu na unaeza ukafanya ukiwa kwenye pajama.
IMG-20191114-WA0029.jpeg
IMG-20191114-WA0130.jpeg
IMG-20191114-WA0034.jpeg
IMG-20191114-WA0021.jpeg
IMG-20191114-WA0012.jpeg
IMG-20191118-WA0001.jpeg
IMG-20191114-WA0018.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabla haujajiunga jaribu kuangalia bei za bidhaa zao, mara nyingi bei uwa kubwa hivyo kuwa kikwazo kikubwa sana kupiga hatua

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Kwanini bidhaa zinazouzwa huko aim global kukutoka katka viwanda vya serikali ya awamu ya tano? Kama ndio basi ingia kama sivyo huo niuhujumu uchumi na utakatishaji wa laki 5
 
hiyo ni pyramid scheme, faida inatokana na uwezo wako wa kuwashawishi wengine wajiunge, hapo ndio kuna kazi utaishia kugombana na watu kila siku.
 
Karibuni kwa michango

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndugu yaani wataka michango gani na hapo juu majibu tayari unayo... Hapo wewe ndo fursa na huyo anayekupeleka ndo unaenda kumpandisha cheo kwahiyo na wewe baadae utatakiwa utafute wengine uwageuze ngazi... Wakati utakuwa unazunguka na bidhaa za malaki ambazo wateja hamna... Kama una uwezo wa kutembeza hizo bidhaa kwanini hiyo laki 5 usiongezee kidogo ununue balo la nguo za watoto utembeze maeneo yenye wakazi wengi kama hizi kambi za majeshi au quarters za raia kawaida upige hela...
 
Kim jonathan,
Nimecheka sana mkuu hii umeandika kwa hisia sana kama asipoelewa hapa kwenye hii comment basi mwache aandae mapambio hiyo laki tano sijui ngap wamekwambia kama huna kazi nayo nakushauli nenda bar asubuhi agiza supu ya kongoro pindi inaandaliwa anzisha mitungi mdpgmdog akili ikae sawa itakayobaki kachezee dubu au kabeti
 
Back
Top Bottom