Ushauri: Nina mpango wa kujiunga AIM Global

evart

JF-Expert Member
Sep 4, 2016
2,838
2,771
Habari zenu wana JF ni matumaini mu wazima mnaendelea na michakato ya maisha. Kama kichwa cha mada kinavyojieleza nina mpango wa kujiunga na hii ishu ya Online Marketing kwani nimebahatika kukutana na mtu ambae amejiunga huko.

Amenishawishi vizuri nimefarijika sana maana maisha yamenibonda nataka nikajaribu upande mwingine wa mtandaoni.

Naombeni ushauri wenu kwa mliojiunga au mnaoifahamu vizuri biashara hii.

Je, ina manufaa? Kuna uwezekano wa kutoboa huko?

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri jiunge haraka boss, usipoteze hata siku 1, ni fursa tamu japo binafsi siwakubali hao majamaa manake suppliment zao ni kama dengu *no approved theraupetic claims* sasa sjui utamuuzia nani mkuu au utakula tu we mwenyewe uhumuke.
IMG-20191011-WA0003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom