Ushauri: Nimepata short wakati nauza vitambaa vya nguo

akash1555

Member
Nov 19, 2016
87
26
Naombeni ushauri wenu,

Mimi mfanyakazi nauza vitambaa, leo nimetia short 12,000 yani sawa na kitambaa meta 1 ila boss kanimaind.

Nifanye nini ili ajirudu niweze kuendelea kama mwanzo?
 
The The first Sam to go to to g to of of there fire damp hoisting hosting
 
Wana jamii forum samahin nahitaji mtu mwenye uzoefu na biashara ya vitambaa vya nguo vinahitaji mtaji wa kiasi gani kuanza nao asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom