Ushauri...nimekwama

Status
Not open for further replies.
True unayosema...siwezi ku consider kama hivyo...
ila ww pia hujui nilichokiona kwake mpaka nikataka ushauri hapa..
ana mshepu wa mvuto sana, na amevaa kimtego mtego mpaka nimenasa
 
Boflo, mbona laki ndogo sana?????
Muhonge bakuli moja la upendo, ongeza na kilo tisini za uaminifu nje ya ndoa.
Jumlisha na ukweli na uwezo,hasa uki disclose historia yako ya magonjwa sugu ya gono na kaswende, pia PANGUSA iliyokumalizia kifanyio mapenzi
 
Last edited by a moderator:
True unayosema...siwezi ku consider kama hivyo...
ila ww pia hujui nilichokiona kwake mpaka nikataka ushauri hapa..
ana mshepu wa mvuto sana, na amevaa kimtego mtego mpaka nimenasa
Of course mpaka amekuchanganya she is beautiful...... that aside kindly consider that she may not be willing to get laid due to her marital status or othe rreasons
 
Maono sawa lkn sio 'nakadhalika' wewee.
Hahaha nataka tuonane niprove kama kweli hujampita kwa kadhalika...
mara ngapi nimekuomba tuonane unanizungusha tu..
thats y hii kazi ya kupiga sound inanishinda....
ni pm namba yako uone action
Cc The Boss
 
Last edited by a moderator:

Boflo l told yer, umeona sasa.
 
Last edited by a moderator:
MadameX umeganda kama ruba.:.
nakuona muda wote unachungulia tu
Hebu bwaga ya moyoni bac
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…