Kuna manzi nimekutana naye ofisi 1 town, nimem mind kwa mmego tu,
nimemuomba namba yake kwa kuzuga kuwa kuna huduma ningehitaji hapo ofisini kwao
akanipa ....mimi sasa ni domo zege sijui kabisa kupiga sound...
Nimepanga nimrushie kilo by tigo pesa ili nimlainishe ...
Wataalamu wa haya mambo, hii mbinu inaweza kunisaidia kufanikisha malengo??
Ni ya kumlainisha asiwe mkali..na anikubalie ombi languahahahahahahaa
laki!laki si pesa Boflo panda kidau bana!yani laki hata mlango wa pili mlimani city huingii bana!
laaaaki ah!
kama vipi ikunje uiambie ikupe mmego!
lol!huv nani alinitengenezea chai leo asbh!ahhahahahhahahahh sio bure!
Ni ya kumlainisha asiwe mkali..na anikubalie ombi langu
baada ya hapo nitakata tena
Sikuwezi aisee! Hahaha, me love the idea ya kuikunja. Kwi kwi kwi....ahahahahahahaa
laki!laki si pesa Boflo panda kidau bana!yani laki hata mlango wa pili mlimani city huingii bana!
laaaaki ah!
kama vipi ikunje uiambie ikupe mmego!
lol!huv nani alinitengenezea chai leo asbh!ahhahahahhahahahh sio bure!
Sikuwezi aisee! Hahaha, me love the idea ya kuikunja. Kwi kwi kwi....
ahhahhahahhahahhahahhahahhaah nahis kuna mtu ananifanyia hujuma kwenye chai yangu kusema ukweli!
itabidi niwe naibakiza bakiza niipeleke kwa mkemia mkuu!
sijui hata nimewaza nini!eti ikunje!now tht u said it ndo nimepata picha ujue!mweh!
Ama kweli nyani haoni kundule...
sasa ww kila siku uko maharusini unaandaa...
Unaandaa nini???
Ushauri mwanana... Nimeupenda sana ubarikiweMapenzi ya siku hizi jamani utapeli mtupu. Yaani wewe umemuona mdada siku moja tu basi ushamtamani let say huyo mrembo ana wake ampendae na kama ujuavyo tena siku hizi vijana pesa mbele , unadhani hiyo pesa yako ataikataaa. Huu ugonjwa sijui kama hata utaja isha. Remember money can never buy love. Hiyo nahisi tamaa inasumbua hapo na pengine pesa kwako sio shida wawe tupa tu kila mahala unapojisikia. Hivi hayo mapenzi ya ghafla wewe umeyatoa wapi hata kutaka toa pesa ndio maana huwa nasema tujaribu kutenganisha love na emotions, love ni kitu kilicho hai . Are you looking for a lover or you want just a temporaly relationship?
Jiulize nini hasa unahitaji toka kwa huyo mdada. Kama huyo mdada ni decent basi ukimtumia pesa kama chambo atakudisqualify and you will end up loosing her, la kama huyo mdada ndio hawa wa kileo basi atakula pesa yako na mambo mengine yataendelea. Chunguza nafsi yako kwa kujiuliza maswali kama unataka nini hasa, kipi kinakufaa kwa kipindi hiki.
Kuwa mwangalifu dunia ina mengi..........
Naaaaaam hapo umenena mchaya ngoja nikupe ushauri sasa,hayo mambo ya kutumia pesa kama fimbo ni mambo ya kishamba ya zamani au ya watu waliokuwa wajanja baada ya kufika mjini.kuwa mjanja,jipende wewe utaona mashori wanavyokufuata
halafu zamani ndio watu walikuwa wanahangaikia msichana flani,siku hizi vijana wenzio wanatega anayeingia ndie anayeliwa!mfano naamini ktk pm kutakuwa na watu wanaoivizia laki yako sasa hivi,kamata mmoja hapo tumia kwa kiwango cha thamani ya pesa yako
ila kumbuka mwisho wa siku kuoa ili nasi tunaoishi kwa kusherehesha tuweze kuishi mjini!all the best