Mimi sitaki kujuana na askari yeyote. Napambana nao tu.
Ngoja nikupe kisa kilichonitokea miaka kadhaa iliyopita...
Niliamka asubuhi, mara paaap simu inaita namba mpya nikaona nipoke!
"unaongea na afande .... kutoka kituo cha polisi, unatakiwa ufike hapa haraka sana...akakata simu.."
Ilinishtua sana, nikawaza nishawahi piga dili mahali? no sijawahi! Basi nikawajulisha ndugu na jamaa ina case likitokea la kutokea!
Kufika kituoni nikakuta viajana kama wanne hivi wako selo, then afande akawaita!
"Huyu ndiye aliyewapa huo mzigo?"
Wakasema HAPANA!...nikawapiga mkwara wale polisi... lakini nikaona isiwe shida!
Basi nikawaacha pale wanabishana na wafungwa wao! Mimi huyo nikasepa zangu!
USHAURI.
Mpaka wamepata namba yako jua kabisa wana jina lako! ILA Kama unajiamini HUNA MABAYA NENDA ILA KUNA RISK UNAEZA ENDA UKAUNGWA NA UNAWEZA USIENDE WAKAKUSAKA (na mpaka wakusake utakua na jibu wakikupata nini kitafwata...)
Asante mkuu
Hapa nawaza kubadili na line asa sijui unanishauri vipi maana hii nchi kwa kweli polisi wake nawajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee nimetoka juzi kwa msamaha wa rais
GuDume, Dah hawa jamaa unaweza fika hata kama hauna kesi wakakuweka ndani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie waje wakuchukue....acha hofu...mkutane Serikali za mtaa au waelekeze hao polisi wapite kwa Mkiti wa mtaa ..... Hata kama unamakosa umefanya acha woga...Habari wakuu
Nimepokea simu kutoka kwa mtu anasema yuko central kitengo cha cyber na kuna namba inaonekana naongea nayo na wanataka kujua machache kuihusu
Nimewauliza ni ipi niwajibu? wamekataa wamesema niende central au niwaambie nilipo wanifate nimewajibu ntaenda kesho
Hasa hapa najiuliza niende au? maana polisi wetu hawaaminiki unaeza fika yakawa mengine
Ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaahahahhajaajjaajjajajajaanajahahahahKuna siku nilishuhudia jamaa kaenda pale anasema nimekuja niliitwa sasa nimekuja, akaulizwa unaitiwa nini akasema mimi sijui lakini nimeambiwa nahusishwa na wizi wa laptop, akaulizwa aliyekushitaki yupo wapi? Akasema sijui? Wakamwambia basi kaa hapo usubiri yeye akasema mm sina muda nina mambo yangu mengine kama yeye hayupo basi ile kabla hajamaliza akaambiwa hiyo haya vua mkanda, vua viatu, weka mazaga pale alafu kachague selo.
Waambie waje wakuchukue....acha hofu...mkutane Serikali za mtaa au waelekeze hao polisi wapite kwa Mkiti wa mtaa ..... Hata kama unamakosa umefanya acha woga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kabisaHabari wakuu
Nimepokea simu kutoka kwa mtu anasema yuko central kitengo cha cyber na kuna namba inaonekana naongea nayo na wanataka kujua machache kuihusu
Nimewauliza ni ipi niwajibu? wamekataa wamesema niende central au niwaambie nilipo wanifate nimewajibu ntaenda kesho
Hasa hapa najiuliza niende au? maana polisi wetu hawaaminiki unaeza fika yakawa mengine
Ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku 5 zote hizo?Kwanza nakupa pole Sana kwa kuitwa kituo Cha polisi.
Nakumbuka mwaka Jana 2018 nimewahi kukaa selo kwa siku 5 bila kutarajia.Kituo kikubwa Cha magomeni usalama.
GuDume katika ubora wake... hajaacha comment yake burebure akachomekea kaparagraph mwishoni!Kuna jambazi/mhalifu unawasiliana naye au mtu wako wa karibu?
Aliyekuita alijitambulisha vipi na wewe unamwamini vipi kuwa ni polisi na si tapeli au mwenye nia mbaya na wewe?
Kama upo ok chukua mtu wa kukusindikiza ambaye atakuwa nawe in case of anything. Ili ukatoe ushirikiano kwa kile unachokifahamu.chukua jina la askari husika na namba yake. Nenda kituoni uliza kama kuna mtu mwenye jina na namba hiyo.then waambie amekuita kwa simu unataka onana naye ukiwa na mtu amekusindikiza na umeoa taarifa kwa watu wa karibu.
Then waoneshe ushirikiano.
Kama unatembea na mke wa mtu na chats zenu zimeonekana ni issue ujue. Ombea mwenye mke asiwe karibu akakuona na jinsi ulivyokuwa ukitamba kwenye chats kwa kumkunja mkewe pasipo huruma.
Yaaan mzeee kaongea kiutani ila ndio ukweli, tulimepeleka jamaa yetu alieuziwaga simu ya wizi aloooo hatukuamini tumefka hatukuamini, alisagura ontime kwa mbaaali tunamuona yuleeee kwenye korido yenye giza huku wadau wanamkaribishaaaHahahaha unafika tu wanakwambia vua viatu, vua mkanda? Hahahaha kama utani vile ila ni ukweli mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app