B40
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 820
- 536
Jamani mimi nilikuwa nasoma UDOM fani ya education. Nilipofanya mtihani wa UE mwaka wa pili sikurudi kumalizia mwaka wa tatu ni kama nilirogwa na chuo hawakupata taarifa yoyote, nilikuwa nimalize mwaka 2012. je naweza kupewa cheti cha advance diploma? Pili nifuate utaratibu upi?