Ushauri: Niliacha chuo kikuu mwaka wa pili, je naweza kupewa cheti cha diploma?

B40

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
820
536
Jamani mimi nilikuwa nasoma UDOM fani ya education. Nilipofanya mtihani wa UE mwaka wa pili sikurudi kumalizia mwaka wa tatu ni kama nilirogwa na chuo hawakupata taarifa yoyote, nilikuwa nimalize mwaka 2012. je naweza kupewa cheti cha advance diploma? Pili nifuate utaratibu upi?
 
Ingekuwa mfumo wa NTA ingewezekana tena kwa utaratibu maalum...ila UDOM mfumo wao ni competent Based... Wewe umeondoka tena bila TAARIFA...Nakushauri jipange u apply upya!
 
Jamani Mimi nilikuwa nasoma udom fani ya education. Nilipofanya mtihani wa UE mwaka wa pili sikurudi kumalizia mwaka wa tatu.ni kama nilirogwa. Na chuo hawakupata taarifa yoyote.nilikuwa nimalize mwaka 2012.je naweza kupewa cheti cha advance diploma? pili nifuate utaratibu UPI.
Ngoja wajuvi wa mambo waje, ila kwa ufahamu wangu University zetu huwa wanazingatia program uliyokuwa wafanya...Kama ni Degree mwisho huwa ni Degree na haibadiliki isipokuwa mtu aweza akaipata au asiipate. Lakini kwa Degree kugeuka kuwa Advanced diploma hapo waje wataalamu kwa kweli...
 
Ingekuwa mfumo wa NTA ingewezekana tena kwa utaratibu maalum...ila UDOM mfumo wao ni competent Based... Wewe umeondoka tena bila TAARIFA...Nakushauri jipange u apply upya!
Asante mkuu
 
Thanx
 
Ngoja wajuvi wa mambo waje, ila kwa ufahamu wangu University zetu huwa wanazingatia program uliyokuwa wafanya...Kama ni Degree mwisho huwa ni Degree na haibadiliki isipokuwa mtu aweza akaipata au asiipate. Lakini kwa Degree kugeuka kuwa Advanced diploma hapo waje wataalamu kwa kweli...
Thanx
 
Ulijiroga wewe mwenyewe hakuna aliyekuroga,achana na imani za mambo ya kufikirika na kusadikika,

Jipange upya.
 
Back
Top Bottom