WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,415
- 1,379
- Thread starter
- #61
Mkuu wengine gari tumezipanda ukubwani...so sio priority ukilinganisha na mahitaji mengine. Nina miaka zaidi ya kumi kaka nafanya vitu vingine tu nilipoona vinaisha ndo nikawaza niangalie upande huu pia.Mtoa mada ina maana umejenga nyumba zote hizo ukiwa unakwea bodaboda? Kuna kama ka chai flani hivi. Unless hizo nyumba ziwe unga unga mwana ila mtu anayejenga nyumba mbili za kawaida hawezi kosa hata IST maana bei yake ni kama Tiles za nyumba moja tu
Asante kwa maoni yako lakini