dad24
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 464
- 121
Hahahaha unaogopa kutolewa mfano?Sasa huo mfano gani unanipigia mimi?
Hahahaha unaogopa kutolewa mfano?Sasa huo mfano gani unanipigia mimi?
Me niko barabarani tayari
Kaka huyo Mfunge Kabisa Wala Usimwonee aibu ya Undugu! Haiwezekana mchungaji anafanya upuuzi kama huo tena kwa ndugu yake! Anamjua mungu kweli huyu FUNGA KABISA HUYO
Kaka huyo Mfunge Kabisa Wala Usimwonee aibu ya Undugu! Haiwezekana mchungaji anafanya upuuzi kama huo tena kwa ndugu yake! Anamjua mungu kweli huyu FUNGA KABISA HUYO
mkuu mama yangu mdogo baada ya kujua kuwa ninafuatili akanipigia cm nimuone akaja analia et mmewe akifugwa itakuwaje nikapatwa na huruma nipo njia panda
Ni mme wa mama mdogo mchungaji wa kanisa la EAGT hapa Dar, Alimleta huyo mtoto amwendeleze kielimu akiwa na miaka 14 sasa ana 16 amezaa last week ni copy ya baba mdogo na amegoma kupima DNA na kuwa mkali ajabu.
Binamu anasisitiza kuwa ni yeye.
USHAURI PLZ.
Tabia za akina KAPUYA hizo, potezea tu kiccm ccm kama kawa.
Hawa Wachungaji, hata vikondoo vidogo hawaviachi?