Ushauri: Ndugu Wanataka Nimfunge Baba Yangu Mdogo

Ushauri: Ndugu Wanataka Nimfunge Baba Yangu Mdogo

Aisee hiyo kali hawa wachungaji wanachunga kondoo wa bwana na pia wanakula mazao ya ufugaji wao.."jocking" ila kwa kweli wamezidi haya makanisa ya kimarekani..mara padre shoga na kaolewa na mwananume mwenzie. Inamaana ni kwamba akizi padre anasamehewa ila muumini hapana. Hapo shreia ifuate mkondo tu mbakaji kwa kumsingizia YESU lazima afuatiliwe hakuna kifamilia wala ni hapo..mpeni dili Joyce Kiria hilo
 
Hujajibu umri wa bi aysha!kwani ukiolewa ndio inatanuka au?

Mchungaji kamla mwanae, soma kichwa cha habari, usilete ujinga ambao kila siku mnasomeshwa hamtaki kuuelewa vipi inawauma mkisikia wachungaji wanakula kondoo zao kila siku?
 
Back
Top Bottom