Ushauri: Ndugu Wanataka Nimfunge Baba Yangu Mdogo

Ushauri: Ndugu Wanataka Nimfunge Baba Yangu Mdogo

Umepanic mkuu...ata akipima DNA, ata ukimfunga ukweli utabaki palepale kama ni mtoto wake atabaki hivyo...ni mambo ya familia inabidi muyamalize kwa maongezi tu

Mambo mengine yanahiji hekima na busara zaidi!
Kwahilo swala mkuu hapo juu katoa hoja ya msingi. Ebu tulia na lifikilie marambili hilo.
 
amekataa kuhojiwa anasema atapambana na yeyote atakaye mfuatafuata haogopi

Kama analeta ubabe nanyi mmpeleke kibabe tena mchakamchaka.
Lakini akiweka mambo hadharani mnaweza mkayamaliza kifamilia na hakuna jambo litaharibika
 
Mambo mengine yanahiji hekima na busara zaidi!
Kwahilo swala mkuu hapo juu katoa hoja ya msingi. Ebu tulia na lifikilie marambili hilo.

kweli ila kila mtu anayemshauri anakuwa adui yake na kublock number yake
 
mie nafkir huyo mchungaj ana wakubwa wake wa kaz kama mnaona swala la mahakama ni gumu sana mpelekn ngaz za juu za viongz wake wa dini wakalitatue
 
Duh hawa wachungaji wanaoibuka kila kukicha taabu kweli kweli. Kumfunga hakutasaidia kitu kwani hapatakua na msaada wowote atakaopewa huyo binti na mwanae. Ni bora mkatafuta mtu mwenye mamlaka kiasi flani ili apewe majukumu ya kutunza huyo binti na mwanae na pia huyo binti alipwe fidia ili aweze kusoma kama ilivyokua imepangwa. Kama ataendelea kuleta ubishi basi mpeni notice kuwa akichelewa mnalipeleka swala hili mbele ya mikono mirefu. Tena mke wa huyo mtumishi muelezeni mpango wenu na yeye muone anasemaje au anashauri nini.
 
mie nafkir huyo mchungaj ana wakubwa wake wa kaz kama mnaona swala la mahakama ni gumu sana mpelekn ngaz za juu za viongz wake wa dini wakalitatue
Huu ushauri nao mzuri. Yaani hawa wachungaji wasiojitambua ni taabu tupu kukicha unasikia mara askofu ana kesi ya kuzaa na mke wa mtu mara nini wapuuzi sana hawa.
 
Huu ushauri nao mzuri. Yaani hawa wachungaji wasiojitambua ni taabu tupu kukicha unasikia mara askofu ana kesi ya kuzaa na mke wa mtu mara nini wapuuzi sana hawa.

maana tayr ishaingia mgongano wa kimaslsh!! mmh mchungaj aliamua kula product yake kabla wajanja wa mjim hawajamuwah
 
huyo mchungaji ni mpuuzi kweli. hao ndio wanaodhalilisha jina la bwana.. dhambi katenda na bado analeta ubabe.

to me nafikiri angetoa ushirikiano ingekuwa poa ishu hii kumalizika kifamilia..but kama anazingua dawa yake ni polisi na ustawi wa jamii tu.
 
EAGT huwa wanawajibisha wachungaji wanaoenda kinyume na maadili ya uchungaji..cha msingi ripotini kwa askofu wa jimbo lenu...

huku mkifanya jitihada za kumfanya ahakikishe anatoa msaada kwa mama na mwanae
 
Hata ukimfunga haitobadili maana.. Kama ni kuzaa ameshazaa..

Hayo ni mambo ya kifamilia... Kaeni kwa pamoja myamalize kifamilia..
 
kaeni kama familia mjadili mkiwashirikisha viongozi wengine wa kanisa anapotumika
 
mie nafkir huyo mchungaj ana wakubwa wake wa kaz kama mnaona swala la mahakama ni gumu sana mpelekn ngaz za juu za viongz wake wa dini wakalitatue

jpil hii tunaanzia hapo mkuu ila jua atafukuzwa kaz pia
 
Back
Top Bottom