mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
Hahahaa umenikumbusha mbali sana kuna jamaa ni mwanajeshi mkewe nae ni mwanajeshi ila mwanamke ana cheo kikubwa zaidi ya mwanaume kumbe sheria zao yule wa juu huwa kuna heshima za saluti huwa anapewa sasa kila mtu ana usafiri wake wakikutana mwanaone lazima mdingi atoe saluti kwa mkewe jeshi wana sheria balaa.