Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,277
- 144,453
Look sweety! Even in vatican the do these things hey!
Why are you so hard to get?
Have you got like a Golden ass or something?
You iz gheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeey
Look sweety! Even in vatican the do these things hey!
Why are you so hard to get?
Have you got like a Golden ass or something?
Ukishaoa kaa ukijua maafande wenzake wa kiume waliyemzid cheo watakusaidia inavyosemekana jeshini hamna neno hapana kwa aliyekuzid cheo...
You iz gheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeey
Kuna gani flani ni vizuri waoane wao kwa wao na kama utaoa basi inahitaji uvumilivu sana. ......fani kama waandishi wa habari, wanamichezo, wasanii,na maaskari wa majeshi yote.
Yaani hizo fani kuchapiwa ni kama kumsukuma mlevi. ......nilishakuwa kwenye fani mojawapo kati ya hizo hivyo nazielewa sana. ...ila inawezekana wako anamuogopa Mungu
mkuu kama unampenda fanya taratib* zinavyotakiwa yeye anazijua atakuelekeza......
Suala la kwenda kozi au operation ni changamoto ambayo unatakiwa ukabiliane nayo.... Kuna kozi level 3 hapo atakula miez 3 kuna level 2 atakula miez3 kuna jnr nco atakula miez3 kuna snr nco atakula miez3 lakn hyo yote ni kwa vipind tofauti tofauti..
Lakn yote hayo hayahusian na hayo wanayozusha wanaume suluali kuwa eti wanafanya michepko..
Japo wanasema mtm ni mali ya jeshi lakn kuna utaratibu wa kuheshimu mke wa mtu..... Aliyeolewa hawez kwenda sawa na ambaye hajaolewa
So? Whats the big deal!
watu kama nyie mtaishia kuogopa kila kitu.... Haya tuambie wafanyakaz gani ambao hawachepki?...... Kama umeoa mkeo ulimkuta na bikra? Umewahi kujiuliza alibomolewa na watu wangap?
Acheni kuchafua watu wakat hata dada zenu wanaangushwa kama walevi.
Kwa expirience yangu ni wahuni sana sio wote lakini so watch your backTutakuwa na msaidizi...
Nami pia ni mfanyakazi wa serikali position nzuri tu.
...hairuhusiwi kabisa,utafungwa kwa ubakaji...
Thanks for sharing with us your wedding photos:heh:
Teh teh teh!
I'm looking 4 wife number 2.
Can you please Allow me to make you happy ?
I promise you will never regrets!
Satisfaction guarantee!
Sio kosa lako kwa maana hujawahi kujichanganya na hayo makundi. .....na mtu kama wewe unaejifanya wajanja wa maneno ndio huwa mnachapiwa sana tuu....
Mi sijaoa. ....wanawake zenu mi ndio nakamata
watu kama nyinyi ndio nawaita kunguru.... Usipende kumvunja moyo mwenzako kwa maneno ya uongo......... Suala la kazi ndio halina hapana lakn suala la ngono halina kuforce......
Tena ni hatar kubwa mno kwa kiongoz kujihusisha kiampenz na mke wa mtu ikibainika huyo mkuu wake anashushwa cheo....