Ushauri: Naweza kumuoa mwanajeshi wakati mimi sio mwanajeshi?

Ushauri: Naweza kumuoa mwanajeshi wakati mimi sio mwanajeshi?

Halafu we maku mi sijakulia kota. ....kama unataka kujua nipo wapi unaweza pitia thread zangu. .......We utafikiri ukimaliza TMA ukapata uluteni usu huwezi kuvuliwa hiko cheo na kupigwa chini jeshi kama utakwenda kinyume? ...kwa taharifa yako unapigwa chini pamoja na kiapo chako ulichoapa mbele ya rais.
Sasa nenda kaulize ni vyeo cheo kuanzia rank gani vinavyotokana na kupendekezwa then anapelekewa rais kuidhinisha?
Sikiliza mdogo wangu Mtimti mimi sio wa kwenda kuuliza, najua kila kitu na pia siwezi kubishana na wewe unayesimuliwa, Mimi nilikomaa kufikia hapa, endelea
 
Last edited by a moderator:
Bwana mdogo Mtimti chunga majibu yako usijikute mnjanja kwa kuishi kota kwa mgongo wa baba, wengine tupo kambini kwa nguvu zetu

Mi sijawahi kukaa kota. ...na mtu hawezi niongopea juu ya jeshi maana nilikuwa nalipenda na mzee alikuwa anatuambia mambo mengi tuu...nimezaliwa mshua ni ofisa wa Jeshi, na mwezi mmoja na nusu nyuma kastaafu.
Nenda katafute picha za ma general 12 waliostaafu na kuagwa pale twalipo utamuona.
 
Last edited by a moderator:
Sikiliza mdogo wangu Mtimti mimi sio wa kwenda kuuliza, najua kila kitu na pia siwezi kubishana na wewe unayesimuliwa, Mimi nilikomaa kufikia hapa, endelea

Sasa ulichokuwa unanibishia na kuleta matusi ni nini?....mi nimekua naona kila kitu na nna washkaji na ndugu wapo jeshini, wengine wamerudi juzi toka Sudan kwenye mission ya UN, hivyo najua nnachokiongea
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha unataka nitoe siri zako jinsi ulivyokuwa unaliwa tigo? .... unakumbuka uliokotwa ukiwa umelewa kwenye mtaro na suruali ikiwa chini ya magoti? Unataka niendelee?

dogo bado hujitambui ww!! Ungekuwa umezaliwa na baba yako halisi usingekuwa na akili kimavi hvyo........ Baba yako nmefundisha akiwa kozi ya jne Nco sasa sijui utanieleza nn.....

Hayo ya kuliwa tigo ni mdomo wako tu unajiropokea usivyovijua..... Ww endelea kuishi kwa peshen ya baba yako ya ukoplo
 
Kipindi cha nyuma tulikuwa kwenye uhusiano wa kawaida tu.Kwa wakati huu nataka nioe kabisa Mkuu!!!!

Mi naona baadhi ya majibu tayari unayo..Tatizo wasiwasi tu hapo mkuu...Ila kama mnapendana kweli,kazi yake si kigezo hata kidogo hasa kwa wanawake wenye mapenzi ya kweli,na mpaka mmefikia hatua hiyo,naona mpo "serious".
Kuwa huru nae tu,lazima ukubali hiyo ndio kazi yake,na kuna wakati atahitaji ratiba yake iheshimiwe kama yako vile Mkuu!..hayo ndio mapenzi kwa shida na Raha.

NB:Ukifumaniwa tu hapo ndio kutakua na utofauti baina yako na wanaume wengine 💣.
 
mimi nakuona bonge la primitive..... Kazi na tabia ya mtu vinahusiana vipi?...... Tena nyinyi mnaojifanya selective ndio mtakuja kuoa machangudoa..... Kwahyo ndoa zote znazovunjika kwa usaliti ni za makundi uliyotaja?......... Inamaana dada zako, shangaz zako nao wapo kwenye makundi uliyotaja? Kawaulize wanaowagonga kama walikuta sild.......... Wanaume wazima kazi kuzusha umbea tu na kuchafua fani za watu...... Huna la kujifunza ww

Taratibu mkuu hapa watu wanatoa uzoefu.Sasa wewe unataka kusikia unachopenda tu?.
 
dogo bado hujitambui ww!! Ungekuwa umezaliwa na baba yako halisi usingekuwa na akili kimavi hvyo........ Baba yako nmefundisha akiwa kozi ya jne Nco sasa sijui utanieleza nn.....

Hayo ya kuliwa tigo ni mdomo wako tu unajiropokea usivyovijua..... Ww endelea kuishi kwa peshen ya baba yako ya ukoplo

Hahahaha nadhani utakuwa bado unaendelea kuchekiwa. .......We endelea na kamchezo kako, ila ni dhambi kubwa hiyo, ulianza kama utani kumuiga aunt moudy kisa mnatoka mtaa mmoja tanga. ....matokeo yake ndio hayo
 
bwana mdogo tulia ww n mtoto wa kota sasa unaongea samaki mwenyew anayeishi majin,,,, kipind ww upo kwenye blood circulation mm nilikuwa 841 kj, ww ukiwa unatolewa kama shahawa na kufanyiwa urutubishwaji mm nilikuwa 512kj, ww unatotolewa na kuanza kukuuzwa mm nipo 44 kj, hyo ndio kambi yangu ya mwisho na nikamvunja mkataba....

Nmekwambia umalaya ni tabia ya mtu, kuna MTM tumefanya nao kazi na waliolewa na raia wadada wastaarabu kabisa na heshima zao........

Hvyo vyeo unavyovisema vya kutolewa na raisi ni kuanzia nyota au 1stlt au luten usu.......

Mkuu acha uzalilushaji!kwani we mimba yako ilitungwa bila shahawa?.Mleta mada anaulizia changamoto za hawa watu kiujumla si uchepukaji tu.Anazungumza changamoto zinazotokana na utumishi wa hawa watu na anataka kupata michango ya wadau je kwa changamoto hizi na suala la ndoa atawezaje sasa kumanage?.Mkuu hata masuala ya ngono kunatafiti zinaeleza wazi tu kuwa kada hizi ziko juu.Punguza jaziba hii ndo JF ukikubali kuingia humu tegemea kuguswa kwa namna moja ama nyingine
 
acha kutoa makamasi kijana..... Unawajua makuruta wanapatkana wapi?

Mara nyingi nyinyi watoto wa kota mnakuwa hamuwajui baba zenu baba yako alivyoenda lindo akasaidiwa kukuzaa ww ndio maana hata akili yako ni hovyo...

Hebu toa siri hizo nizione.... Labda siri utakayoitoa ni ile uliyonikuta na mama yako nmemkunja wakat baba yako ameenda kozi kuongeza koplo yake

mtoa mada unaweza kutumia michango na majibu ya wanakada aliyopo mtarajiwa ku predict tabia zao.
 
Naona thread imegeuka mipasho ya kina isha mashauzi watu wanapashana tuuuuuuu.
 
Mi sijawahi kukaa kota. ...na mtu hawezi niongopea juu ya jeshi maana nilikuwa nalipenda na mzee alikuwa anatuambia mambo mengi tuu...nimezaliwa mshua ni ofisa wa Jeshi, na mwezi mmoja na nusu nyuma kastaafu.
Nenda katafute picha za ma general 12 waliostaafu na kuagwa pale twalipo utamuona.

acha uongo dogo,unajua Tanzania ina ma general wa ngapi,usiwaongopee watu humu
 
acha uongo dogo,unajua Tanzania ina ma general wa ngapi,usiwaongopee watu humu

Hivi wewe unajua uchoongea? Kama hujui kaa kimya usioneshe ukilaza wako hapa. ....Haya we unaejua wapo wangapi tuambie.
Unajua u general unaanzia kwa brigedia? Au wewe umekariri kuwa general ni mwamunyange tu? ...kweli wewe kilaza
 
Unaweza,ila mkuu wake wa kazi atakuandikia barua ambayo itakupa mkataba wa kusaini kati yako ww na jeshi mkataba utasema huyu ni mali ya jeshi na tukimuhitaji muda wowote kusiwe na kipingamizi.

Sasa kazi itabaki kuwa kwako je utakubali au utakataaa,na ukiwa unamkwaza anaweza akakwambia anaenda guard kumbe anaenda kwenye michepuko uamuzi ni wako brother.

Na nurse je?
 
Hivi wewe unajua uchoongea? Kama hujui kaa kimya usioneshe ukilaza wako hapa. ....Haya we unaejua wapo wangapi tuambie.
Unajua u general unaanzia kwa brigedia? Au wewe umekariri kuwa general ni mwamunyange tu? ...kweli wewe kilaza

ata baba ako akuiva kijeshi,raia mkaka mavu kumbe,hawezi kuwa raia kiasi hcho
 
dogo Mtimti baba ako ajala kiapo kumbe raia hyo,eti baba ako General ah aha aha aha aha aha aha wadanganye wasio lijua Jeshi,hata hyo Btother David hujui ni General wa ngapi hapa tz,so quite dogo,na hvyo vi ndugu zako vilivyo enda uko sudani cjuh,kuna wenzako wameenda Ops mpaka basi, Mshua wako raia mkaka mavu sawa Mtimti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom