The activist
Senior Member
- Aug 9, 2014
- 113
- 67
- Thread starter
- #21
Itabidi ujitahidi kufanya mazoezi saaana, la sivyo hutaweza kumridhisha kumridhisha mwanajeshi katika tendo la ndoa!
Kuna ukweli wowote hapa???
Msaada tafadhali kwa wataalam.
Itabidi ujitahidi kufanya mazoezi saaana, la sivyo hutaweza kumridhisha kumridhisha mwanajeshi katika tendo la ndoa!
Hii kama sikosei ni thread ya 4 au ya 3 ndan ya siku hizi 8 inahusu wanajeshi...... Mm nasema mwanaume kama hujiamin na kama umekuwa kunguru msiwafate hao wanawake maaskari... Maana mnachosha kila siku mwanajeshi! Mwanajeshi , mwanajeshi. ..... Wanawake wapo wengi ukiona unawasiwasi na mwanamke askar acha nenden mkaoe hao mnaodhan hawachepuki......
Takbiru walahi wankubali weye:lol:
Teh teh teh!
Unasheerekea ee!
Inaonekan Mzee ana kuhudumia vizuri.
I like the way you laugh! You touched my Heart sweety!
Takbiruuuuuuuuuuuuuuuuuu :lol:
Mwaaaaa! I love you too my little bunny.
You is gaaaaaaaaaaaaaaaaaay
its more like "you ARE Gay Than you IS gay!
And so do you my little nyam nyam!
Come on sweet heart! I ain't going to bite!
Kuna gani flani ni vizuri waoane wao kwa wao na kama utaoa basi inahitaji uvumilivu sana. ......fani kama waandishi wa habari, wanamichezo, wasanii,na maaskari wa majeshi yote.
Yaani hizo fani kuchapiwa ni kama kumsukuma mlevi. ......nilishakuwa kwenye fani mojawapo kati ya hizo hivyo nazielewa sana. ...ila inawezekana wako anamuogopa Mungu
Get yo gay azz up out here.
You gay azz muhfuka.
Unaruhusiwa kumuoa akiwa na miaka 25+ Na utasomewa barua na kusain kuhusu lindo,op na kozi anza kujipima kama utavumilia
Sasa Mkuu huo muda wote ulikaa nae hukupata majibu ya maswali yako??...Au ndio umemtokea jana?
Mkuu mbona kama umeudhika???
Si kutokujiamini, ni kutafuta njia nzuri ya mafanikio.
Ushauri wako ni muhimu tafadhali.