The activist
Senior Member
- Aug 9, 2014
- 113
- 67
Ndugu wa bodi
Natumaini mko salama, poleni pia kwa changamoto na majanga kadhaa yanayotuandama.Nimekuwa kwenye uhusiano na askari wa JWTZ kwa muda sasa na tunategemea kuoana, hoja zangu zinazonipa utata ni;
1.Je, kwa utaratibu wa jeshi nina weza kumuoa mi si mwanajeshi lakini ni mfanyakazi wa serikali.
2.Nitakabiliana vipi na changamoto za kazi yake kama kwenda kwenye operation, lindo na majukumu mengine yote.
3.Je, atanitii kama mume, huku akijua kuwa yeye ana mafunzo na kujua kutumia silaha.
Nakaribisha mawazo tafadhali, kejeli hazina nafasi, niko serious kujenga familia.