Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,914
Hiki ulichoandika hakitabadili uhalisia wa kile nilichoandikaAcha ulozi wewe.
Ameachishwa kazi, ajira zinazidi. Kuadimika, jeshi la wasio na ajira linazidi kukua kubwa, hakuna aliye na hofu na hii hali, watu wanachotaka Ni ushindi tu come rain, come sunshine. Halafu kirahisi tu unamwambia mpwa wangu adifanye biashara.
Unataka akalime korosho? Au akalime karafuu au kahawa au miwa? Mazao yote hamtaki akauze kwa Uhuru. Hivi mnataka Nini?
Ni lazima uwe mtu wa kufikiri zaidi ya kufikiri...nimemwambia kama HAJAWAHI kufanya biashara kuuza kiwanja chake
Biashara ni taaluma yenye abc zake
Kuna aina ya biashara
Kuna eneo sahihi la biashara
Kuna mtaji
Kuna malighafi
Kuna matumizi
Kuna wateja
Kuna faida
Kuna hasara
Usijifanye motivational speaker ukamuingiza chaka mwenzako...kumbuka alichonacho ni kiwanja tuu ...biashara zikifeli kiwanja amekiuza unadhani atapata maumivu mara ngapi?