Mickbrown JF-Expert Member Joined Sep 13, 2022 Posts 421 Reaction score 507 Sep 26, 2023 #41 mshamba_hachekwi said: mnywe supu hutojutia Click to expand... ππ
ZionGate JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 6,370 Reaction score 3,006 Sep 26, 2023 #42 Ukipata rosti na Serengeti bariiiid dah wikiend hii lazima nikatupie Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Ukipata rosti na Serengeti bariiiid dah wikiend hii lazima nikatupie Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 7,842 Reaction score 25,759 Sep 26, 2023 #43 Excel said: Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha Click to expand... Ukiwatoa wale wasiokula nyama ya Nguruwe kwa sababu za kiafya eg allergic etc the rest ni wanafiki tu. Wanazini,wanaiba,wanasengenya wengine ni wachoyo hao hizo kwao siyo dhambi lakini kula Nguruwe kwao ndiyo dhambi,wana wazimu hao!
Excel said: Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha Click to expand... Ukiwatoa wale wasiokula nyama ya Nguruwe kwa sababu za kiafya eg allergic etc the rest ni wanafiki tu. Wanazini,wanaiba,wanasengenya wengine ni wachoyo hao hizo kwao siyo dhambi lakini kula Nguruwe kwao ndiyo dhambi,wana wazimu hao!
Ngiama makanda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 2,197 Reaction score 3,912 Sep 26, 2023 #44 Karibu sana chamani ustadhi, hakika hutojutia uamuzi wako na kama umekuja kujaribu basi jua kabisa hii kitu haijaribiwi ni kama kubwia cocaine tu
Karibu sana chamani ustadhi, hakika hutojutia uamuzi wako na kama umekuja kujaribu basi jua kabisa hii kitu haijaribiwi ni kama kubwia cocaine tu
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Sep 26, 2023 Thread starter #45 Just Distinctions said: Achana nae, huyo mdudu ni kama kula Unga (Poda) ni ngumu sana kumuacha sababu ana addiction, kibaya dini yangu hairuhusu hivyo sikushauri umle Kwanini usijaribu Kuku choma au mbuzi roast?π Click to expand... Mbuzi katoliki?
Just Distinctions said: Achana nae, huyo mdudu ni kama kula Unga (Poda) ni ngumu sana kumuacha sababu ana addiction, kibaya dini yangu hairuhusu hivyo sikushauri umle Kwanini usijaribu Kuku choma au mbuzi roast?π Click to expand... Mbuzi katoliki?
Mhadzabe JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 3,246 Reaction score 4,753 Sep 26, 2023 #46 Excel said: Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Fwara sana wewe jamaaa
Excel said: Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Fwara sana wewe jamaaa
Mhadzabe JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 3,246 Reaction score 4,753 Sep 26, 2023 #47 Anza kwa kutafuna masikio yake yaliyokaangwa
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,702 Reaction score 41,865 Sep 26, 2023 #48 Mhadzabe said: Anza kwa kutafuna masikio yake yaliyokaangwa Click to expand... Akimaliza afyonze supu ya pua
Mhadzabe said: Anza kwa kutafuna masikio yake yaliyokaangwa Click to expand... Akimaliza afyonze supu ya pua
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,468 Reaction score 18,552 Sep 26, 2023 #49 Ushimen said: Ukisha mla, nakushauri umshushie na bapa moja la nyagi aka faru jonh.....π utakuja kunishukuru...π Click to expand... Kesho ntakuchek
Ushimen said: Ukisha mla, nakushauri umshushie na bapa moja la nyagi aka faru jonh.....π utakuja kunishukuru...π Click to expand... Kesho ntakuchek
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 10,468 Reaction score 18,552 Sep 26, 2023 #50 Evelyn Salt said: Onja zote....anza na ya kukaanga, kula roast na ya kuchoma + ndizi mbili na kachumbali oooh haleluyah Click to expand... Umesahau na kabia kabarido
Evelyn Salt said: Onja zote....anza na ya kukaanga, kula roast na ya kuchoma + ndizi mbili na kachumbali oooh haleluyah Click to expand... Umesahau na kabia kabarido
Tychob JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 4,130 Reaction score 5,397 Sep 26, 2023 #51 Anza na ya kukaanga plus ugali na chainizi na pilipli kidogo .
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,862 Reaction score 8,511 Sep 26, 2023 #52 Hii ukianza kula utapelekea ushuhuda wenzio kwamba waendelee na msimamo ama wakate shauri
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 15,963 Reaction score 20,291 Sep 26, 2023 #53 Dividend said: Karibu sanaView attachment 2763119 Click to expand... Ongeza mkuu tuna mwanachama mpya wa mdudu hapa
Dividend said: Karibu sanaView attachment 2763119 Click to expand... Ongeza mkuu tuna mwanachama mpya wa mdudu hapa
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,322 Reaction score 6,970 Sep 27, 2023 #54 Excel said: Mbuzi katoliki? Click to expand... ππHapana mkuu , ni mbuzi mee
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,451 Reaction score 50,183 Sep 27, 2023 #55 Tlaatlaah said: mbona maelezo na tone vinaenda sambamba na wazoefu wa hiyo kitu? Je! Na wewe ni mmoja wao? Mwenendo wa maelezo unaishara Kamili za uzoefu. Click to expand... Kwamba ni miongoni mwa wanaozorotesha biashara kwa siku 30 kila mwaka
Tlaatlaah said: mbona maelezo na tone vinaenda sambamba na wazoefu wa hiyo kitu? Je! Na wewe ni mmoja wao? Mwenendo wa maelezo unaishara Kamili za uzoefu. Click to expand... Kwamba ni miongoni mwa wanaozorotesha biashara kwa siku 30 kila mwaka
E Embezzler JF-Expert Member Joined Sep 8, 2023 Posts 2,290 Reaction score 5,745 Sep 27, 2023 #56 Kuna siku nliikunywa supu ya kongoro la kitimoto. Sitakaa nisahau kwa nilivyoteseka. Aisee wachagga mna moyo. Nasikia maini yake Ni zaidi ya supu ya kongoro.
Kuna siku nliikunywa supu ya kongoro la kitimoto. Sitakaa nisahau kwa nilivyoteseka. Aisee wachagga mna moyo. Nasikia maini yake Ni zaidi ya supu ya kongoro.
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,733 Reaction score 14,157 Sep 27, 2023 #57 Excel said: Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha Click to expand... Hujachelewa....wanaomchukia ndio wanamtafuna haswasaπ
Excel said: Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha Click to expand... Hujachelewa....wanaomchukia ndio wanamtafuna haswasaπ
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,733 Reaction score 14,157 Sep 27, 2023 #58 Pia kuna Salami hem etc
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 8,677 Reaction score 20,676 Sep 27, 2023 #59 Excel said: Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha Click to expand... Wewe ni mzoefu
Excel said: Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha Click to expand... Wewe ni mzoefu
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Sep 27, 2023 Thread starter #60 Percival said: Angalia wanaokula huwa akili zinahamia makalioni Click to expand... Wivu tu