Ushauri: nataka kuoa binti niliemzidi miaka 8

Ushauri: nataka kuoa binti niliemzidi miaka 8

Sasa ya nini kutoa povu maoni ya wengine maana mumekuwa wakali kweli na kuita wengine zero. Wakati wewe na mleta mada ndo hamna akili. Na huwezi kupuuza mawazo zaidi ya kutendea kazi na kufanya uchunguzi. Punguzeni kuendeshwa na hisia wewe na huyo mwenzako
Mawazo mengine ni ya kupuuza kama ntakavyo kupuuza nikishaweka nukta kwenye post yangu... (na hiki ndicho nlitaka mleta mada akifanye).
 
Mbona hapo hamna tusi unafikiri Kutoa mtu bikra ndo guarantee ya kidumu. Lazima nikwambie ukweli mchungu mpaka siku moja unikumbuke. Huyo atakichoka kibamia chako then ndoan atakuwa na hamu ya kuonja tofauti tofauti
Fact!! Jombaa beba ukweli huo na ufanyie kazi,usiwe kama jiwe anataka kusifiwa tu hataki kupewa maneno ya challenge iki ayafanyie kazi!!
 
Kwan lazima Kila kitu muombe ushauri jf? Mtu kama unampenda hapo Hakuna ushauri.
 
Kwa hyo age huyo hajapanuka akili mie mwenyewe kwa umri huo hata ub... Sijui kabisa nasisitizwa shule. Sasa I wonder hawa wawili mzazi anaye ruhusu mwanawe kufanya huo upuuzi had ndoa jinsi siku hizi ni jipu.
Fact!! Jombaa beba ukweli huo na ufanyie kazi,usiwe kama jiwe anataka kusifiwa tu hataki kupewa maneno ya challenge iki ayafanyie kazi!!
 
Oaa huyo babaaa...!! Sema atakuwa na utoto badoo...
 
Huyo baadae atakuja Kuwa mhuni tu kujaribu mboo za tofauti bora hata muhuni aliyekubuhu. Huyo bado ni mdogo aisee.
Wote tu mnatabia ya kujaribu chululuu mbalimbali,
mwache kijana aoe binti mbichi.
 
Back
Top Bottom