cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,709
Hahaaaaa
Kwann unaipenda hiyo?
Kwann unaipenda hiyo?
Hapo hakuna ndoa.
Katika sifa zote ulizotaja, hakuna hata moja ya kipimo cha mke bora.
Yawezekaba hujui hata umempendea nini.
Anyways:- ngoja utakapomjua vizuri utarudi humu mbio kuomba ushauri
Mh. Mbona jibu la kikatili na ushauri mgumu kwa kijana mzee, rmbu mpunguzie mzigp.Mkuu embu achana na hizo sifa za mzur wa sura, anajua kuongea English vizur, shape nzuri kwenye kufanya maamuzi ya kuoa huwa hatuangalii hizo sifa mwanamke ni tabia njema awe ana heshima na kufata misingi yote kama mama wa nyumba
Hahaaaaa
Nijibuu
Huyo baadae atakuja Kuwa mhuni tu kujaribu mboo za tofauti bora hata muhuni aliyekubuhu. Huyo bado ni mdogo aisee.
Oa kijana umri sio tatizo kabisa wenzetu Hawa wanachakaa upesi kuliko wanaumeKuna uamuzi nimeufanya ila muafaka wake utafikia ntapopata ushauri wa wanajamiiwazoefu wa maisha ikiwemo members wa humu ndani.
Mimi ni kijana mwenye miaka 26, naona ni wakati muafaka wa kufunga pingu za maisha na binti ili niwe na familia yangu, Nimepata binti ana miaka 18 (tumepishana miaka 8) elimu yake ni form 4 alifaulu ila kaamua kuwa mwalimu wa chekechea shule ya english medium na analipwa vizuri .
Sifa na tabia zake zilizonivutia ni kujiheshimu, kuwa na maadili, nilimtoa bik**, ni mchapa kazi, anajua kupika, anajua English vizuri, ni mzuri kwa sura na shape, ananipenda.
Wakuu wenye phd zenu za experience ya maisha ya ndoa, Je Uamuzi naotaka kuufanya ni sahihi?
Hahaaaaa hyo siri ya kambi
Asavali maana wengine tunachangikiwaga hivyoOkay nimekuelewa
Asavali maana wengine tunachangikiwaga hivyo
Kwenye ushauri wote Zingatia huu. Vile umeomba wenye phd, sasa huu ushauri ni wa kiprofesa ila sio Lipumba.
Iko hivi kwa kawaida hao teens huwa wanatabia ya kupenda sana kabla ya exposure. Ila baadae watataka kujua vitu vingi tofauti na unavyofanya, usishangae siku ukakuta kabadilika kabisa na akupendi mpaka ukashangaa.
Binafsi ilishanitokea case kama yako, nilitoa utepe, nilipendwa mpaka nilihisi awezi ishi Duniani bila mm, tena alikuwaga ni mrembo hadi Wema Sepetu nilikuwa namdharau watu wakisema ni mrembo. Kilichotokea mpaka leo huwa siwaamini wanawake hasa wasichana.
Punguzeni lugha kali jamani...Huyo baadae atakuja Kuwa mhuni tu kujaribu mboo za tofauti bora hata muhuni aliyekubuhu. Huyo bado ni mdogo aisee.
Kama ulicho andika hapo ni kweli na mioyo yenu imeridhia with love nahakika hakuna kitakacho ingia kati yenu, umri sio tatizo mkuu...wapo wenye miaka 28 lakini akili maji ata ukisoma comments humu unawaona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna uamuzi nimeufanya ila muafaka wake utafikia ntapopata ushauri wa wanajamiiwazoefu wa maisha ikiwemo members wa humu ndani.
Mimi ni kijana mwenye miaka 26, naona ni wakati muafaka wa kufunga pingu za maisha na binti ili niwe na familia yangu, Nimepata binti ana miaka 18 (tumepishana miaka 8) elimu yake ni form 4 alifaulu ila kaamua kuwa mwalimu wa chekechea shule ya english medium na analipwa vizuri .
Sifa na tabia zake zilizonivutia ni kujiheshimu, kuwa na maadili, nilimtoa bik**, ni mchapa kazi, anajua kupika, anajua English vizuri, ni mzuri kwa sura na shape, ananipenda.
Wakuu wenye phd zenu za experience ya maisha ya ndoa, Je Uamuzi naotaka kuufanya ni sahihi?
Punguzeni lugha kali jamani...
Kuna uamuzi nimeufanya ila muafaka wake utafikia ntapopata ushauri wa wanajamiiwazoefu wa maisha ikiwemo members wa humu ndani.
Mimi ni kijana mwenye miaka 26, naona ni wakati muafaka wa kufunga pingu za maisha na binti ili niwe na familia yangu, Nimepata binti ana miaka 18 (tumepishana miaka 8) elimu yake ni form 4 alifaulu ila kaamua kuwa mwalimu wa chekechea shule ya english medium na analipwa vizuri .
Sifa na tabia zake zilizonivutia ni kujiheshimu, kuwa na maadili, nilimtoa bik**, ni mchapa kazi, anajua kupika, anajua English vizuri, ni mzuri kwa sura na shape, ananipenda.
Wakuu wenye phd zenu za experience ya maisha ya ndoa, Je Uamuzi naotaka kuufanya ni sahihi?
Acha kupaniki wewe kwani kukosolewa ni kuna shida gani hili ni jukwaa la public huwez kumzuia mtu kuongea kama umemaindi kalaleNi wapi nimeandika hivyo vitu, Sio lazima kukomenti mkuu
Mboo ni kiungo cha kawaida tu mkuu by ze way huu uzi maneno kama mboo, **** ndo maali pakeKwan we n me au ke? Hivyo mboo unavyoitajaaa