Ushauri: nataka kuoa binti niliemzidi miaka 8

Ushauri: nataka kuoa binti niliemzidi miaka 8

Mh. Mbona jibu la kikatili na ushauri mgumu kwa kijana mzee, rmbu mpunguzie mzigp.

Yeye amemwona ni mzuri, akasahau kuwa huyo atazeeka
Anajua english, hajui kama ni lugha kama lugha zingine
Analipwa vizuri, hajui kama kuna kupoteza ajira.


Embu arudi akaangalie sifa za mke, na kama hajui anataka mke gani aahirishe kwanza mpaka atakapojua sifa za mke bora.
Huyu kijana atakuwa wa dar es salaam.!! Vijana watangazao kila la kwao. Muflis
 
Sijaona shida kwenye hiyo gape ya miaka... Oa tu
 
Mi kuna binti ananilazimisha nimwoe tena mke wa pili nimemzidi miaka 20 yaan yupo serious analia kabisa kila siku, nami namwona kama anapoteza mda, hadi najilaum why nlimtongoza na kumpa dushe
 
Mkuu huyo binti ni safi,ila usikimbilie kumuoa kwanza..kuwa nae kwenye mahusiano ukiwa unamsoma kwanza,

Then uje ufanye maamuzi baadae.
 
Mkuu umekuja kuomba ushauri pokea ushauri .Mgonjwa achagui dawa.
Kikubwa upendo na mu oneane huruma.
 
Mbona hapo hamna tusi unafikiri Kutoa mtu bikra ndo guarantee ya kidumu. Lazima nikwambie ukweli mchungu mpaka siku moja unikumbuke. Huyo atakichoka kibamia chako then ndoan atakuwa na hamu ya kuonja tofauti tofauti
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ni sawa tu kwa umri huo ni mtu mzima, Lakini hakikisha unampa mapenzi heavy otherwise utasaidiwa sana halafu atakuwa ajakula ujana vizuri.
8 years kwa mwanamke ni gap DOGO mno, by the way jamaa bado KIJANA SAAANA. Kwa maumbile yalivyo utakuta bint atazeeka jamaa bado yupo ngangari, maana kuanza kuzungumzia mambo ya kugongewa huyu kutokana na umri ni miaka kama 20+ hivi ijayo. Mimi huwa napenda nimzidi mwanamke miaka 10.
 
Acha povu unakuwa mkali ka nini hutaki ushauri si usingeleta uzi. Kwa akili yako hyo ndoa uchwara haidumu mfyuuu

Anataka ashauriwe na apewe ushauri ambao utampendeza yeye nafsi yake.

Ila ukweli ni kwamba, msichana wa miaka 18 ni mdogo sana na ni more volatile kulikko anavyodhania. So he should handle her with extra care. Hajakumbana na shoruba nyingi za mapenzi.

Failure to do that na kutimiza majukumu yako kama mwanamme na kupelekea kumstress zaidi ya uwezo wake wa kuhandle stress hizo, tegemea lolote kutokea maana katika umri huo mambo mengi aliyoyaona yamebase katika theory ilhali katika dunia hii theory na practical zinapishana mbalimbali.

Tambuema issues katika relationship ya Mwanamme wa miaka 32 na mdada wa 24 si sawa na ile ya wanamme wa mwanamke wa miaka 26 na mdada wa miaka 18.

Otherwise gap la miaka 8 siyo issue.
 
Sister nakuheshimu sana, nimeomba ushauri sio matusi, kama huna cha kukomenti ni heri ukae kimya tu usome komenti

CHUNGA SANA LUGHA YAKO,

Ni kweli jaribu kuchunguza hata mtaani kwako mabinti walioolewa na umri mdogo!

Huwa wanajiona hawajayamaliza ya dunia
 
Ni sawa tu kwa umri huo ni mtu mzima, Lakini hakikisha unampa mapenzi heavy otherwise utasaidiwa sana halafu atakuwa ajakula ujana vizuri.
Yaan hajala ujana wowote hapo.....anaweza kukumbuka kuula wana watoto wanaitaji Huduma na ukaribu wa mama huku maza ndo anarudi sa nane
 
Kuna uamuzi nimeufanya ila muafaka wake utafikia ntapopata ushauri wa wanajamiiwazoefu wa maisha ikiwemo members wa humu ndani.

Mimi ni kijana mwenye miaka 26, naona ni wakati muafaka wa kufunga pingu za maisha na binti ili niwe na familia yangu, Nimepata binti ana miaka 18 (tumepishana miaka 8) elimu yake ni form 4 alifaulu ila kaamua kuwa mwalimu wa chekechea shule ya english medium na analipwa vizuri .

Sifa na tabia zake zilizonivutia ni kujiheshimu, kuwa na maadili, nilimtoa bik**, ni mchapa kazi, anajua kupika, anajua English vizuri, ni mzuri kwa sura na shape, ananipenda.

Wakuu wenye phd zenu za experience ya maisha ya ndoa, Je Uamuzi naotaka kuufanya ni sahihi?
aiseeee
 
Dah!!
Naona umempata mwenye vigezo vyotee....

Embu tupe na kasoro basi
 
Back
Top Bottom