Ushauri: nataka kuoa binti niliemzidi miaka 8

Ushauri: nataka kuoa binti niliemzidi miaka 8

Kama ulicho andika hapo ni kweli na mioyo yenu imeridhia with love nahakika hakuna kitakacho ingia kati yenu, umri sio tatizo mkuu...wapo wenye miaka 28 lakini akili maji ata ukisoma comments humu unawaona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna mmoja humu huu uzi ukisoma comment yake hata moja tu unajua tayari ni mdada mkubwa bila akili zero🙂
 
Mh. Mbona jibu la kikatili na ushauri mgumu kwa kijana mzee, rmbu mpunguzie mzigp.

Yeye amemwona ni mzuri, akasahau kuwa huyo atazeeka
Anajua english, hajui kama ni lugha kama lugha zingine
Analipwa vizuri, hajui kama kuna kupoteza ajira.


Embu arudi akaangalie sifa za mke, na kama hajui anataka mke gani aahirishe kwanza mpaka atakapojua sifa za mke bora.
Mkuu huyu lazima tumpe majibu ya ngumu kumeza yani majibu ya kumjenga mana ndoa si kama unaenda kucheza mdako ndoa ni taasisi nyeti sana ambayo haiitaji wakaguzi wa ndani wala wa nnje so lazima tumpe ushaur wa kumjenga kimwili na kiroho hili ainjoi maisha ya ndoa
 
kama unataka kuoa brother we oa tu kutaka mashauri ya watu tena usiowafahamu itakugharimu tu
 
Watu huwa hawataki mtazamo tofauti anataka kuandikiwa alipendalo
Jaman ayo ni mawazo yake binafs ndo mana na ww ukasema kila mtu anafikir anachofikir so yey kafikir alichofikir
 
Mimi ni kidume au unaweza kuniita mtoto wa kingoni karibu ruvuma
 
Nyie wajinga ndo mnajidai mna dharau eeeh. Kwanini ulete mada ka hutaki mawazo tofauti
Mawazo mengine ni ya kupuuza kama ntakavyo kupuuza nikishaweka nukta kwenye post yangu... (na hiki ndicho nlitaka mleta mada akifanye).
 
Kuna uamuzi nimeufanya ila muafaka wake utafikia ntapopata ushauri wa wanajamiiwazoefu wa maisha ikiwemo members wa humu ndani.

Mimi ni kijana mwenye miaka 26, naona ni wakati muafaka wa kufunga pingu za maisha na binti ili niwe na familia yangu, Nimepata binti ana miaka 18 (tumepishana miaka 8) elimu yake ni form 4 alifaulu ila kaamua kuwa mwalimu wa chekechea shule ya english medium na analipwa vizuri .

Sifa na tabia zake zilizonivutia ni kujiheshimu, kuwa na maadili, nilimtoa bik**, ni mchapa kazi, anajua kupika, anajua English vizuri, ni mzuri kwa sura na shape, ananipenda.

Wakuu wenye phd zenu za experience ya maisha ya ndoa, Je Uamuzi naotaka kuufanya ni sahihi?
Kwa upande wangu naona upo sawa kwani kuoa mapema kunaleta upeo mkubwa wa kuweza kutunza familia...ila chukua tahadhari na wanawake wa Sasa ni vema ukapata muda zaidi wa kumfahamu huyo uliyempata usije jutia baadae.
 
Back
Top Bottom