Ushauri: nataka kuoa binti niliemzidi miaka 8

Ushauri: nataka kuoa binti niliemzidi miaka 8

Huyo baadae atakuja Kuwa mhuni tu kujaribu mboo za tofauti bora hata muhuni aliyekubuhu. Huyo bado ni mdogo aisee.

We ni me au ke? Iyo mboo unavyoitajaa


Kwan we n me au ke? Hivyo mboo unavyoitajaaa
 
Owa, ila sifa hapo ni 2 tu, kujiheshimu na kuwa na maadili, hizo sifa nyingine hazitokusaidia chochote na huenda zikakusababishia matatizo. Siku nyingine kaa mbali na wanawake wachapa kazi / walio ajiriwa, mara nyingi hawana uwoga wa maisha kwa kuwa washazoea kujitafutia riziki wenyewe hivyo mume kwao sio muhimu saana. Hapo chekechea pakiwa na single daddy ambao watoto wao wanasomeshwa na huyo wife basi jiandae na kusalitiwa. Solution hakikisha unamchakaza mapema, toa mtoto weka mtoto yaani umemuonea huruma watoto wa4 ambao wamepishana mwaka au miaka 2.
 
Mie na jinsia zote


Hilo neno "mie" hutumiwa na wanawake sana. Hivyo, wewe ni mwanamke. Mwanamke akiongea profanity ie matusi huwa ninapata Mwanza sana a.k.a ule wimbo wa diamond. Samahan lakin mdada
 
Kijana ukioa kwa kuangalia hizo mbwembwe ulizotaja hautafika popote kwenye ndoa yako.
Unavyoonekana umezuzuliwa sana na huyo binti. Tuliza akili kwanza na uchague mke sahihi.
 
Hahaaaaa hongera kwa kung'amua hiyo issue kwa uzuri. Endelea kupata nyegezi
Hilo neno "mie" hutumiwa na wanawake sana. Hivyo, wewe ni mwanamke. Mwanamke akiongea profanity ie matusi huwa ninapata Mwanza sana a.k.a ule wimbo wa diamond. Samahan lakin mdada
 
Mkuu naomba nikuweke sawa amesema binti ana miaka 8 ila yeye ana miaka 26 kwa iyo amemzidi mdada miaka 8
Na mimi nimeanisha binti ni mtu mzima kwa mujibu wa katiba yetu. So anaweza kumuoa ila atamsumbua kwa kuwa ajakula ujana vizuri huyo binti.

#nashukuru
 
Miaka 18 bado mdogo aisee otherwise gap ya miaka 8 ni perfect [emoji108][emoji108]
 
Kuna uamuzi nimeufanya ila muafaka wake utafikia ntapopata ushauri wa wanajamiiwazoefu wa maisha ikiwemo members wa humu ndani.

Mimi ni kijana mwenye miaka 26, naona ni wakati muafaka wa kufunga pingu za maisha na binti ili niwe na familia yangu, Nimepata binti ana miaka 18 (tumepishana miaka 8) elimu yake ni form 4 alifaulu ila kaamua kuwa mwalimu wa chekechea shule ya english medium na analipwa vizuri .

Sifa na tabia zake zilizonivutia ni kujiheshimu, kuwa na maadili, nilimtoa bik**, ni mchapa kazi, anajua kupika, anajua English vizuri, ni mzuri kwa sura na shape, ananipenda.

Wakuu wenye phd zenu za experience ya maisha ya ndoa, Je Uamuzi naotaka kuufanya ni sahihi?
Katika sifa zote ulizotaja, hakuna hata moja ya kipimo cha mke bora.

Yawezekaba hujui hata umempendea nini.

Anyways:- ngoja utakapomjua vizuri utarudi humu mbio kuomba ushauri
 
Back
Top Bottom