Hayo mambo mawili yanaegemea zaidi kwenye gpu na processor.
So kwa viwango vya hiyo pc naweza sema ni middle-class.
Gpu ya AMD r7 260 ni ya 2013 lakini performance yake ni nzuri mpaka leo.
Pc Inarun Adobe na application nyingine za aina yake bila tatizo
Pia inaweza kurun application kama android studio bila tatizo.
Pia kwa hiyo gpu naweza run game nyingi kwa medium settings game kama za aina ya gtaV.
game za mpira na za magari mara nyingi unacheza high settings mpaka ultra settings bila tatizo.
Kiufupi inaweza cheza game nyingi za miaka kuanzia 2016 kurudi nyuma kwa medium au high or even ultra kabisa.
Na inaweza sukuma game za kuanzia 2016 kwenda juu kwa low settings au medium.