Ushauri: Nataka kununua home theatre!!

Ushauri: Nataka kununua home theatre!!

Hio Sony itakuwa ya enzi zile za CD changer Hi-fi zenye VCD za early 2000's...Kitu made in Japan hio! Zilikuwa na built in function ya woofer!
Kuna uncle wangu alikuwa na mashine moja ya Sony 3CD changer Hi-fi system ilikuwa inakita balaa yani mziki ukiwa ndani ya nyumba sebuleni unausikia kawaida tu ila toka kwa nje ya nyumba utaipenda. Alikuwa akipiga nyimbo za Michael Jackson zile dah shida tupu yani huku na huku ngoma za Mr.Paul yani duh. Nilikuwa naenda kumtembelea kila weekend ili tu niskie kile kinu chake kinavyotwanga. Mjapani anajua kuunda vinu aisee nakubaliii!

Mashine ilikuwa model hii hapa grx88

View attachment 381660
Kama ni Dodoma nkuhungu, namfahamu.
 
Wadau baada ya kuchoshwa na saboofer za mchina nataka nijiongeze kidogo, maana kila mwaka nanunua mpya!!

Napendelea brand ya samsung, ila hata kama kuna nyingine nzuri sawa!! Nahitaji kujua bei zinaanzia kiasi gani na ubora wake pia!!
Bajeti niliyonayo ni 600k!!
nI
The best Home Theatre ni SONY. Ni imara na zina ubora wa hali ya juu kwenye sauti. You'll hear each and every sound bitting from multiple sources very clearly. The quality of Surrounds (Sorround speakers) is amazing.
 
Huyu muhuni kama hajapata woofer anatakiwa akachukue mashine hii hapa Sony model dav-dz650, ninayo ghetto now aisee ni kufuru wazee, unaweza ukaangusha ceiling na ina jumla ya 1000watts tu kama output. Ina digital sound amplifier "S-master" inayotoa dynamic sound hatari mno waweza dhani ni hi-fi system ila tofauti hii theatre bass yake ni kali zaidi!
View attachment 406655
Sawa, ngoja nichukue hii
 
ni kweli ndugu yangu PANASONIC ni wazuri sana tu au kama anajiweza pia aangalie JVC lakini asihangaike na SAMSUNG kwenye music si wazuri mimi huwa hata sihangaiki kujaribu music wa SAMSUNG najua ni mbwembwe tu na bei kubwa lakini kitu chepes kama mabox ya mchina. MUSIC utapata PANASONIC,SONY,JVC na hata LG ukiwa na mtu nje au ukiweza kumaliza biashara nunua BOSE. hii ndo majirani wataandamana kukutaka uhame mtaani maana utabomoa nyumba zao na kila siku mabint watakuwa wanakuja kwako waje kusikilizia nyimbo zao.
Hiyo brand ya bose ipo Tz?
 
Nimeona hii kitu ila naona review zake si haba lakini kuna shida moja wanasema kuna mda feni ya kwenye player inapiga kelele sana kiasi cha kukera. Wakuu nishaurini
Extrovert
Screenshot_20200607-204204_Samsung%20Internet.jpg
 
Back
Top Bottom