haa mym
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 4,832
- 4,627
Nisha hama huko mkuuNtumie ujumbe namba yangu ni0764411446 nataka mashine hometheater
Nisha hama huko mkuuNtumie ujumbe namba yangu ni0764411446 nataka mashine hometheater
Umehamia wapi.....!Nisha hama huko mkuu
Nipm mawasiliano ya mahali hapo kakaAahaaa kaka acha kumtishia bure,mm nimenunua home theater pale samsung agent mwanza pale nata kwa bei ya 250,000 ina deck,spika 5 na woofer moja.
mimi sikushauri kununua samsung music. kiukweli samsung kwa upande wa music si wazuri. nenda kanunue SONY hawa wanamusic wa maana hasa. kuna radio alinunua mzee miaka kama 15 iliyopita mpaka sasa inapiga music achaa.... akigonga hadi mapigo yako ya moyo yana badilika yanaanza kufata mdundo wa wimbo unaopiga. kama upo ndani husikii sana ila jaribu kutoka nje ndo utasikia kitu kinavyogonga. kama ni nyumba haikujengwa imara unaweza kuta inapata ufa na baadaye kubomoka kabisa. na pia nliona PANASONIC wapo vizur na LG kwa Samsung mi napenda TV zao tu ila kwa music hawana kitu pamoja na bei zao kuwa juu lakini si kitu. ukiwa na mfuko mkubwa kanunue BOSE MUSIC SYSTEM.... Hii inatisha kabisa ni weka mbali na watu. inagonga kaka we acha tu asikwambie mtu ila ukinunua hii machine hakikisha haufungui sana sauti na usiweke bass ya sifa unaweza kuangukiwa na nyumba unayoish.
samsung hom theater ndo mpango mzima natumia hiyo bizaa mwaka wa 2 huu kitu bado kipya mkuu ila bajet yako czan kama itatosha
Huo u theatre wa 250k ndio uchafu kabisa nahisi ndio sampuli zile zile nilizotumia za 300w....Hamna kitu humo! ingawa mi niliuziwa 350k.Kama ukipenda kuweka hvo,ila tofauti ya hiyo ya 250 na nyingine mnazozitaja ni kua speaker za hzo nyingine zina stand.ila function zote kama dvd,aux,fm radio,USB, recording kwenye usb ninapata kwa hyo 250 tu.
mimi sikushauri kununua samsung music. kiukweli samsung kwa upande wa music si wazuri. nenda kanunue SONY hawa wanamusic wa maana hasa. kuna radio alinunua mzee miaka kama 15 iliyopita mpaka sasa inapiga music achaa.... akigonga hadi mapigo yako ya moyo yana badilika yanaanza kufata mdundo wa wimbo unaopiga. kama upo ndani husikii sana ila jaribu kutoka nje ndo utasikia kitu kinavyogonga. kama ni nyumba haikujengwa imara unaweza kuta inapata ufa na baadaye kubomoka kabisa. na pia nliona PANASONIC wapo vizur na LG kwa Samsung mi napenda TV zao tu ila kwa music hawana kitu pamoja na bei zao kuwa juu lakini si kitu. ukiwa na mfuko mkubwa kanunue BOSE MUSIC SYSTEM.... Hii inatisha kabisa ni weka mbali na watu. inagonga kaka we acha tu asikwambie mtu ila ukinunua hii machine hakikisha haufungui sana sauti na usiweke bass ya sifa unaweza kuangukiwa na nyumba unayoish.
Mi naitaji tvWakuu kwa wanaohitaji vitu vya eloctronics vyovyote vile ani pm namba yake nimtumie toka huku zanzibar.
Nina Samsung nilinunua 2011 kwa 280,000, iko Poa sana, muziki wa wastani wa kusikiliza ndani uliochujwa vizuri, nilinunua pale lumumba street Dar kwa dealer, haijasumbua chochote mpaka leo ni 5.1
Tafuta Sony model DAV-275 ni model ya nyuma kidogo inaingia DVD tano, hii home theatre nadhani subwoofer lake ndio lenye power sana kuliko zingine ina watts 285 r.m.s wakati matoleo yaliyofata yalikuwa na 185watts pekee, na lens yake wameificha sana inakuwa ni ngumu kuchafuka Mimi huu ni mwaka wa saba sijaisafisha na inacheza DVD bila tatizo lolote
Hio Sony itakuwa ya enzi zile za CD changer Hi-fi zenye VCD za early 2000's...Kitu made in Japan hio! Zilikuwa na built in function ya woofer!
Kuna uncle wangu alikuwa na mashine moja ya Sony 3CD changer Hi-fi system ilikuwa inakita balaa yani mziki ukiwa ndani ya nyumba sebuleni unausikia kawaida tu ila toka kwa nje ya nyumba utaipenda. Alikuwa akipiga nyimbo za Michael Jackson zile dah shida tupu yani huku na huku ngoma za Mr.Paul yani duh. Nilikuwa naenda kumtembelea kila weekend ili tu niskie kile kinu chake kinavyotwanga. Mjapani anajua kuunda vinu aisee nakubaliii!
Mashine ilikuwa model hii hapa grx8
View attachment 381660
Kaka nakushauri nunua mziki wa pisi 5. Aina nzuri n Kenwood au Sony. Mimi nina Kenwood hatari kaka napiga hadi ktk visherehe vya mtaani. Kwa bajeti yako inatosha. Nichek pmWadau baada ya kuchoshwa na saboofer za mchina nataka nijiongeze kidogo, maana kila mwaka nanunua mpya!!
Napendelea brand ya samsung, ila hata kama kuna nyingine nzuri sawa!! Nahitaji kujua bei zinaanzia kiasi gani na ubora wake pia!!
Bajeti niliyonayo ni 600k!!
Mkuu kweli kabisa samsung kwenye audio sio vizuri,Marehemu mzee alinunua Panasonic pale sound and vision kwa Benson tarehe 30.10.06 inapigaa balaaa ,ukiwasha subwoofer ndo lazima majirahi wajute.
Kaka nakushauri nunua mziki wa pisi 5. Aina nzuri n Kenwood au Sony. Mimi nina Kenwood hatari kaka napiga hadi ktk visherehe vya mtaani. Kwa bajeti yako inatosha. Nichek pm
teh teh tehKuna bufa za sayona???
Una EFD Machine??Duh ungekua na 1.5m ngekupa yangu ni latest with blu-ray player, wireless 7.1.
Samsung nzuri sana hasa kama unapenda kuwatch movies, ooh safi mnooo
Una EFD Machine??