Ushauri: Nataka kununua home theatre!!

Ushauri: Nataka kununua home theatre!!

mimi sikushauri kununua samsung music. kiukweli samsung kwa upande wa music si wazuri. nenda kanunue SONY hawa wanamusic wa maana hasa. kuna radio alinunua mzee miaka kama 15 iliyopita mpaka sasa inapiga music achaa.... akigonga hadi mapigo yako ya moyo yana badilika yanaanza kufata mdundo wa wimbo unaopiga. kama upo ndani husikii sana ila jaribu kutoka nje ndo utasikia kitu kinavyogonga. kama ni nyumba haikujengwa imara unaweza kuta inapata ufa na baadaye kubomoka kabisa. na pia nliona PANASONIC wapo vizur na LG kwa Samsung mi napenda TV zao tu ila kwa music hawana kitu pamoja na bei zao kuwa juu lakini si kitu. ukiwa na mfuko mkubwa kanunue BOSE MUSIC SYSTEM.... Hii inatisha kabisa ni weka mbali na watu. inagonga kaka we acha tu asikwambie mtu ila ukinunua hii machine hakikisha haufungui sana sauti na usiweke bass ya sifa unaweza kuangukiwa na nyumba unayoish.
Hahahah we dogo umetisha! Ukweli mtupu.
 
Mkuu kweli kabisa samsung kwenye audio sio vizuri,Marehemu mzee alinunua Panasonic pale sound and vision kwa Benson tarehe 30.10.06 inapigaa balaaa ,ukiwasha subwoofer ndo lazima majirahi wajute.
😀😀😀😀😀😀
 
Kama ukipenda kuweka hvo,ila tofauti ya hiyo ya 250 na nyingine mnazozitaja ni kua speaker za hzo nyingine zina stand.ila function zote kama dvd,aux,fm radio,USB, recording kwenye usb ninapata kwa hyo 250 tu.
Kama shida yako ni kuona picha tu na sauti basi chukua hio ya 250 ila kama unahitaji kuona picha na sauti ya kusisimua chukua system ya 750
 
Music systems za siku hizi zile original hazitoi sauti nje kiasi cha kukera watu. Ukiseti speakers vizuri kwenye setting ya redio sauti inayotoka nje ni kama ya speaker ya simu ila ndani mziki ni mkubwa alafu surround balaa. Mi natumia Dennon
Hamna inategemea na aina ya muziki baab! Kuna homethatre na Hi-Fi systems.

Home theatre ni strictly for internal sorround sound. Inajaza mziki ndani katika eneo ulilopo tu ila mziki hausambai bali unakufata wewe tu. Ukitoka nje ya hio zone mziki hausikiki sana.

Ila Hi-Fi system ni kwa ajili ya mziki kwa uwanda mpana sana ndio maana hii system mziki wake unasikika zaidi nje kuliko ndani. Unaweza ukawa umewasha mziki kwa sauti ya kawaida tu ila mtu akipita kwa nje anaskia dundo la hatari sana. Hasa kama unaskiliza nyimbo yenye bass upate mnyamakazi Sony au Kenwood atavyokuwa anaichambua hio bass lazma mtu agonge hodi aje kuona huo mziki unatokea wapi!

So kama nia ni kusumbua mtaa kamata Hi-Fi system mpaka block ya 3 watatambua uongozi. Ila Kwa mziki wa kuenea ndani tu daka hometheatre japo kuna hometheatre ambazo zina nguvu hadi majirani wanaomba poo!
 
We sister hunitegi kwa hilo. Najua sana sometime mnatumia picha za wanaume huku ninyi ni wanawake... Mimi ni mtu mzima naelewa mitego hiyo baadaye uombe namba yangu nijue ni mwanaume kumbe ni mwanamke. Tatizo huwezi badilisha mwandiko. Mwandiko utakuhukumu.

Au unataka nikushushie mamvua chalyangu...picha si iko wazi tu hapo unaidekerea! Acha usela mavi arif
 
We sister hunitegi kwa hilo. Najua sana sometime mnatumia picha za wanaume huku ninyi ni wanawake... Mimi ni mtu mzima naelewa mitego hiyo baadaye uombe namba yangu nijue ni mwanaume kumbe ni mwanamke. Tatizo huwezi badilisha mwandiko. Mwandiko utakuhukumu.
We ni Ngapulila!
 
yani ww ni sawa na mtu anaulizia sabufa nzuri watu wanampendekezea za 180 then ww unasema kuna ambayo inauzwa elf 70...hiyo yako unachofaid wakati wa kuangalia movie tu ila mziki wake seapiano zile za laki na 170 au aborder ya 180k au Mr UK ya bei hiyo wanakuzid mdundo Wa maana ..hiyo yako haijazidi watts 300 bila shaka atleat ungekuwa na ya thousand watts
Zote hizo tunatumia kwa shida na hatuna hela. Pia vijana wengi saiz hatujui music system hasa baada ya mchina kuleta hizi subwoofer zenye mdundo tu. Ila mziki upo samsung,Boss,Philips,Kenwood brands nyingine made in uk,usa na japan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bose ni Kampuni ya Kimarekani imeanza kutengeneza Music Miaka ya 1964 kipindi Tanganyika inaungana na Zanzibar. Wanaheshimika sana Ndani na Nje ya Marekani kwa vifaa vyao.
Si haki kuwafananisha na Makampuni ya hovyo hovyo. Miaka 5 iliyopita Watengenezaji wa Magari mbali mbali wakiwepo Jeep walianza kuzitangaza gari zao pia kuwa zina music system iliyofungwa na BOSE na watu waligombania sana hizo gari kwa sababu moja wapo ikiwa ni hiyo.
Napenda miziki yenye extreme heavy bass, kama huu wa BOSE unaousema.
Ni BOSE model gani hiyo Mkuu Komeo Lachuma?, nitajie model number yake, chunguliachungulia halafu niambie model number yake.
Nataka niangalie specs zake.
 
Back
Top Bottom