Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,180
- 22,801
ni kweli ndugu yangu PANASONIC ni wazuri sana tu au kama anajiweza pia aangalie JVC lakini asihangaike na SAMSUNG kwenye music si wazuri mimi huwa hata sihangaiki kujaribu music wa SAMSUNG najua ni mbwembwe tu na bei kubwa lakini kitu chepes kama mabox ya mchina. MUSIC utapata PANASONIC,SONY,JVC na hata LG ukiwa na mtu nje au ukiweza kumaliza biashara nunua BOSE. hii ndo majirani wataandamana kukutaka uhame mtaani maana utabomoa nyumba zao na kila siku mabint watakuwa wanakuja kwako waje kusikilizia nyimbo zao.