Mazao gani yanalimwa?Kama unaweza kilimo uje wilaya za Kilindi au Handeni, baada ya miaka 3 nauhakika utakua kutoa ushuhuda juu ya mafanikio hapa
Mazao gani yanalimwa?Kama unaweza kilimo uje wilaya za Kilindi au Handeni, baada ya miaka 3 nauhakika utakua kutoa ushuhuda juu ya mafanikio hapa
Mkuu haupo serious wewe Tanga unaijua au unaisikia wewe?ndg yangu nipo tanga mwaka wa kumi huu kikazi napambana sana kuhama .hakuna fursa huku usijaribu kuja tanga
Nenda Morogoro au Katavi.Sijakupata kidogo mkuu?🤷♂️
Mbogamboga zote unazozijua zinatoka Lushoto... Nyanya, karoti, hoho, mchicha, tangawizi, kabichi, viazi vya chipsi, maharagwe nkMkuu kilimo gani lushoto kinafaa Kwa mazao ya chakula ukiondoa mazao ya biashara kama katani. je? mashamba yanapatikana Kwa bei gani?