Ushauri: Nahitaji ulinzi binafsi

Tumia valium ni ulinzi tosha
 
Kwa sasa nipo Kagera naingia na kutoka, lakini naona mbeleni nitakuwa na masuala muhimu na safari ambazo zitahitaji ulinzi haijalishi nikiwa wapi.

Mkuu aina ya ulinzi unayoiulizia inaweza kuwa ngumu kwa hapa kwetu, maana hapo unahitaji mtu aliyefuzu mafunzo ya usalama.

Sikukatishi tamaa lakini sidhani kama tuna privates wanaofanya hizi kazi
 
Mkuu aina ya ulinzi unayoiulizia inaweza kuwa ngumu kwa hapa kwetu, maana hapo unahitaji mtu aliyefuzu mafunzo ya usalama.

Sikukatishi tamaa lakini sidhani kama tuna privates wanaofanya hizi kazi
Wapo
 
Njoo tukufungie security system nzuri kuanzia kwenye gari yako chumbani kwako, fence yako, pamoja na cameras nzuri bila ya kuwa hata na mlinzi wa getini technology can't lie, But people can lie!
Camera inamzuia mhalifu??
 
Nicheki PM Castr naona pm umefunga, unipe hit mbili tatu kuna kitu nahitaji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…