isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,146
- 6,564
- Thread starter
-
- #61
Mie katika maisha yangu sikuwaza kuwa na ulinzi binafsi, hivi karibuni kuna jumbe na simu zinanitisha hivyo sina budi kupambania maisha yangu.Asantee mkuu... ila mimi kwa sasa nataka kushughulikia suala la kamguu ka kuku kwanza. Sijafikia maisha ya kuweza kumiliki walinzi binafsi. Nami nakutangulizia ulinzi wa kiroho kwanza in Thy Might Name Amen
Nitamanage anger yangu. Ila hakika naihitaji sana kutokana na nature ya biashara nayoenda kuifanya.Mguu wa kuku uki meet na msongo wa mawazo katika muda sahihi na sehemu sahihi uwenda ikiwa njia rahisi ya kujiuwa.
Si bidhaa nzuri sana kuwa nayo
Mkuu, twende kwanza mdogo mdogo.Mie katika maisha yangu sikuwaza kuwa na ulinzi binafsi, hivi karibuni kuna jumbe na simu zinanitisha hivyo sina budi kupambania maisha yangu.
Walaah! Siogopi, bali hofu ya kunidhuru au kuuwawa kifo kisicho asilia.Unaogopa nini?
Upo katika sekta binafsi ama mtumishi ama mwanasiasa?Mie katika maisha yangu sikuwaza kuwa na ulinzi binafsi, hivi karibuni kuna jumbe na simu zinanitisha hivyo sina budi kupambania maisha yangu.
Ndio mkuu natishiwa kuuwawa na baadhi kunidhuru. Sina mpinzani kibiashara maana shughuli nazofanya hazina au kuhusisha mpinzani na sio millionaire kama wengi wanavyotafsiri.Mkuu, twende kwanza mdogo mdogo.
Wanakutishia kwa sababu gani? Wapinzani wako kibiashara? Jumbe zako zina mlengo gani? Wanakutishia kukuua?
Wooow... asante kwa shulenakushauri hivi 1) unaweza ukawa trained wewe kama wewe.......fanya taratibu za kumiliki silaha....ni salama zaidi
2) miliki silaha kihalali, then nenda wizara ya mambo ya ndani......kuna kitengo cha private bodyguard (pure),,,,kuna makachero kibao mtaani wanaoitwa official kwa ishu kama hizi 2) invisible security guard.....hii ni better zaidi but very expensive.....kila la kheri
Mimi naiweza hiyo kazi mkuu..uje chemba tuone tunafanyaje..jinsia ni ke!
Utaharibu..masukuma hamnaga ujanja..mmezubaaNa mimi nahitaji kuongeza ulinzi.[emoji39]
Nyumbani na sehemu yoyote ninayokuwa kwa muda husika.
Utaharibu..masukuma hamnaga ujanja..mmezubaa
Sasa mkuu mm nipo Ngara hapa...naiomba hiyo ajira walau inisukumeKwa sasa nipo Kagera naingia na kutoka, lakini naona mbeleni nitakuwa na masuala muhimu na safari ambazo zitahitaji ulinzi haijalishi nikiwa wapi.
Ndugu yangu nashukuru.Castr mchongo huu.
Huko ulipo unalindwaWalaah! Siogopi, bali hofu ya kunidhuru au kuuwawa kifo kisicho asilia.
Komaa hapo hapo mkuu. Utalindwa na huko huko unapewa vitu vizuri [emoji38][emoji38]So Wangari Maathai unaweza kuwa bodyguard sio?