Regent JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 2,306 Reaction score 3,576 Jun 4, 2021 #21 isajorsergio said: Oh! Sawa, kama unauwezo jinsia sio issue kikubwa ulinzi iwe roboti, drones au automatic machine's. Click to expand... Upowapi nikulinde nina jamaa walinzi wa club wanaweza kuwa bordgurd
isajorsergio said: Oh! Sawa, kama unauwezo jinsia sio issue kikubwa ulinzi iwe roboti, drones au automatic machine's. Click to expand... Upowapi nikulinde nina jamaa walinzi wa club wanaweza kuwa bordgurd
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,562 Jun 4, 2021 Thread starter #22 Peril22 said: Haifiki huko mkuu, wananyonywa sana hawa jamaa. Click to expand... Ikiwa wananyonya anaenda kunilinda hao hawafai na ni kinyume na imani yangu.
Peril22 said: Haifiki huko mkuu, wananyonywa sana hawa jamaa. Click to expand... Ikiwa wananyonya anaenda kunilinda hao hawafai na ni kinyume na imani yangu.
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,562 Jun 4, 2021 Thread starter #23 MoseKing said: Sasa wewe unahitaji Mlinzi au body guard ? Click to expand... Sijajua natofautisha ni ulinzi au bodyguard, kila ninachokula anaanza yeye, anatakiwa kutoa security analysis ya sehemu tunayoenda na vitu kama hivyo.
MoseKing said: Sasa wewe unahitaji Mlinzi au body guard ? Click to expand... Sijajua natofautisha ni ulinzi au bodyguard, kila ninachokula anaanza yeye, anatakiwa kutoa security analysis ya sehemu tunayoenda na vitu kama hivyo.
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,562 Jun 4, 2021 Thread starter #24 ndege JOHN said: Una pesa kiasi gani kwanza tuambie wewe Ni milionea au billionea Click to expand... Sifanyi ulinzi wa pesa hiyo ni kazı ya benki, nalinda utu, haki na maisha yangu.
ndege JOHN said: Una pesa kiasi gani kwanza tuambie wewe Ni milionea au billionea Click to expand... Sifanyi ulinzi wa pesa hiyo ni kazı ya benki, nalinda utu, haki na maisha yangu.
Regent JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 2,306 Reaction score 3,576 Jun 4, 2021 #25 isajorsergio said: Sijajua natofautisha ni ulinzi au bodyguard, kila ninachokula anaanza yeye, anatakiwa kutoa security analysis ya sehemu tunayoenda na vitu kama hivyo. Click to expand... Wewe unahitaji kama yule wa Fred Vunjabei, Billionaire Shillah na Diamond...ninao kibao hapa Gym mtaani.
isajorsergio said: Sijajua natofautisha ni ulinzi au bodyguard, kila ninachokula anaanza yeye, anatakiwa kutoa security analysis ya sehemu tunayoenda na vitu kama hivyo. Click to expand... Wewe unahitaji kama yule wa Fred Vunjabei, Billionaire Shillah na Diamond...ninao kibao hapa Gym mtaani.
Igombe fisherman JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 2,244 Reaction score 4,014 Jun 4, 2021 #26 Wangari Maathai said: Mimi naiweza hiyo kazi mkuu..uje chemba tuone tunafanyaje..jinsia ni ke! Click to expand... Wewe!!! Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wangari Maathai said: Mimi naiweza hiyo kazi mkuu..uje chemba tuone tunafanyaje..jinsia ni ke! Click to expand... Wewe!!! Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,913 Reaction score 9,013 Jun 4, 2021 #27 isajorsergio said: Sifanyi ulinzi wa pesa hiyo ni kazı ya benki, nalinda utu, haki na maisha yangu. Click to expand... Ajiri body guard.
isajorsergio said: Sifanyi ulinzi wa pesa hiyo ni kazı ya benki, nalinda utu, haki na maisha yangu. Click to expand... Ajiri body guard.
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,562 Jun 4, 2021 Thread starter #28 Regent said: Upowapi nikulinde nina jamaa walinzi wa club wanaweza kuwa bordgurd Click to expand... Kwa sasa nipo Kagera naingia na kutoka, lakini naona mbeleni nitakuwa na masuala muhimu na safari ambazo zitahitaji ulinzi haijalishi nikiwa wapi.
Regent said: Upowapi nikulinde nina jamaa walinzi wa club wanaweza kuwa bordgurd Click to expand... Kwa sasa nipo Kagera naingia na kutoka, lakini naona mbeleni nitakuwa na masuala muhimu na safari ambazo zitahitaji ulinzi haijalishi nikiwa wapi.
Regent JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 2,306 Reaction score 3,576 Jun 4, 2021 #29 isajorsergio said: Kwa sasa nipo Kagera naingia na kutoka, lakini naona mbeleni nitakuwa na masuala muhimu na safari ambazo zitahitaji ulinzi haijalishi nikiwa wapi. Click to expand... Ukiwa serious utanicheki
isajorsergio said: Kwa sasa nipo Kagera naingia na kutoka, lakini naona mbeleni nitakuwa na masuala muhimu na safari ambazo zitahitaji ulinzi haijalishi nikiwa wapi. Click to expand... Ukiwa serious utanicheki
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,562 Jun 4, 2021 Thread starter #30 Regent said: Wewe unahitaji kama yule wa Fred Vunjabei, Billionaire Shillah na Diamond...ninao kibao hapa Gym mtaani. Click to expand... Asante kwa ushauri mkuu! Hawa bodyguards gharama zao kwa wiki/mwezi zipo vipi?
Regent said: Wewe unahitaji kama yule wa Fred Vunjabei, Billionaire Shillah na Diamond...ninao kibao hapa Gym mtaani. Click to expand... Asante kwa ushauri mkuu! Hawa bodyguards gharama zao kwa wiki/mwezi zipo vipi?
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Jun 4, 2021 #31 Igombe fisherman said: Wewe!!! Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Yes
Igombe fisherman said: Wewe!!! Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Yes
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,562 Jun 4, 2021 Thread starter #32 MoseKing said: Ajiri body guard. Click to expand... Asante kwa kunifahamisha.
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 474 Reaction score 622 Jun 4, 2021 #33 Kama unamaanisha kweli,tuonane pm
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Jun 4, 2021 #34 isajorsergio said: Oh! Sawa, kama unauwezo jinsia sio issue kikubwa ulinzi iwe roboti, drones au automatic machine's. Click to expand... Nikajua in a tradition way...dah
isajorsergio said: Oh! Sawa, kama unauwezo jinsia sio issue kikubwa ulinzi iwe roboti, drones au automatic machine's. Click to expand... Nikajua in a tradition way...dah
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,562 Jun 4, 2021 Thread starter #35 So Wangari Maathai unaweza kuwa bodyguard sio?
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,562 Jun 4, 2021 Thread starter #36 Wangari Maathai said: Nikajua in a tradition way...dah Click to expand... Ooops unamaanisha ulinzi wa asili za jadi? Hapana namaanisha ulinzi wa Karne ya 21.
Wangari Maathai said: Nikajua in a tradition way...dah Click to expand... Ooops unamaanisha ulinzi wa asili za jadi? Hapana namaanisha ulinzi wa Karne ya 21.
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Jun 4, 2021 #37 mkuu tumia kampuni binafsi , bajeti laki 3 mpaka 5 kwa unarmed security
Regent JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 2,306 Reaction score 3,576 Jun 4, 2021 #38 isajorsergio said: Asante kwa ushauri mkuu! Hawa bodyguards gharama zao kwa wiki/mwezi zipo vipi? Click to expand... Amezitaja Mose juu 900K ila walio chini ya kampuni kwa Personal tu 400K kama unahusika na kushika Pesa na vitu vya thamani nashauri wa Kampuni ila kama for safe tu hata personal...all in all yours.
isajorsergio said: Asante kwa ushauri mkuu! Hawa bodyguards gharama zao kwa wiki/mwezi zipo vipi? Click to expand... Amezitaja Mose juu 900K ila walio chini ya kampuni kwa Personal tu 400K kama unahusika na kushika Pesa na vitu vya thamani nashauri wa Kampuni ila kama for safe tu hata personal...all in all yours.
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,562 Jun 4, 2021 Thread starter #39 Lee said: mkuu tumia kampuni binafsi , bajeti laki 3 mpaka 5 kwa unarmed security Click to expand... Asante nazidi kupata chaguzi nyingi sasa. Hii 500k ni wiki au mwezi?
Lee said: mkuu tumia kampuni binafsi , bajeti laki 3 mpaka 5 kwa unarmed security Click to expand... Asante nazidi kupata chaguzi nyingi sasa. Hii 500k ni wiki au mwezi?
shibela JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 3,211 Reaction score 10,622 Jun 4, 2021 #40 Hapa unamaanisha unatafuta bodyguard mwenye uwezo wa kunusa au sio?