isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,144
- 6,563
Kama ni nyumbani tu. Tumia kampuni za ulinzi.Habari ππΎ
Wakuu nahitaji kuwa na ulinzi masaa 24/7 kwangu mimi na vitu vilivyo chini yangu. Ningelipenda kufahamu aina bora ya ulinzi, nitumie ulinzi wa jeshi au security agencies?
Wenye mnaulinzi binafsi ni aina gani ya ulinzi mlionao, makadrio ya gharama na ushauri katika hili.
Asante.
Bei hiyo ya kulipia kwenye kampuni,mlinzi anakula apo laki tano au 4 tuKama ni nyumbani tu. Tumia kampuni za ulinzi.
Kwa kampuni kubwa andaa angalau Tsh 900,000 kwa mlinzi.
Malipo hayazidi 300,000 GrossBei hiyo ya kulipia kwenye kampuni,mlinzi anakula apo laki tano au 4 tu
Haifiki huko mkuu, wananyonywa sana hawa jamaa.Bei hiyo ya kulipia kwenye kampuni,mlinzi anakula apo laki tano au 4 tu
Duh,sio poa kabisaHaifiki huko mkuu, wananyonywa sana hawa jamaa.
UnyonyajiMalipo hayazidi 300,000 Gross
Hapo anajitegemea chakula, nauli na malazi.
Naona umehamia huku wamekuzingua Walioshika mpiniKama ni nyumbani tu. Tumia kampuni za ulinzi.
Kwa kampuni kubwa andaa angalau Tsh 900,000 kwa mlinzi.
Mimi naiweza hiyo kazi mkuu..uje chemba tuone tunafanyaje..jinsia ni ke!Habari ππΎ
Wakuu nahitaji kuwa na ulinzi masaa 24/7 kwangu mimi na vitu vilivyo chini yangu. Ningelipenda kufahamu aina bora ya ulinzi, nitumie ulinzi wa jeshi au security agencies?
Wenye mnaulinzi binafsi ni aina gani ya ulinzi mlionao, makadrio ya gharama na ushauri katika hili.
Asante.
Nyumbani na sehemu yoyote ninayokuwa kwa muda husika.Kama ni nyumbani tu. Tumia kampuni za ulinzi.
Kwa kampuni kubwa andaa angalau Tsh 900,000 kwa mlinzi.
Tulia boss. π€£Naona umehamia huku wamekuzingua Walioshika mpini
Opearation za kampuni unazijua lakini ingeiuwa rahisi huyo mlinzi afungue kampuni yakeBei hiyo ya kulipia kwenye kampuni,mlinzi anakula apo laki tano au 4 tu
Sasa wewe unahitaji Mlinzi au body guard ?Nyumbani na sehemu yoyote ninayokuwa kwa muda husika.
Opearation za kampuni unazijua lakini ingeiuwa rahisi huyo mlinzi afungue kampuni yakeBei hiyo ya kulipia kwenye kampuni,mlinzi anakula apo laki tano au 4 tu
Mcheki mwarabu FighterHabari ππΎ
Wakuu nahitaji kuwa na ulinzi masaa 24/7 kwangu mimi na vitu vilivyo chini yangu. Ningelipenda kufahamu aina bora ya ulinzi, nitumie ulinzi wa jeshi au security agencies?
Wenye mnaulinzi binafsi ni aina gani ya ulinzi mlionao, makadrio ya gharama na ushauri katika hili.
Asante.
Oh! Sawa, kama unauwezo jinsia sio issue kikubwa ulinzi iwe roboti, drones au automatic machine's.Mimi naiweza hiyo kazi mkuu..uje chemba tuone tunafanyaje..jinsia ni ke!
Ndio sera ya nchi yako. Kima cha chini ni Tsh 150,000Unyonyaji