Ushauri: Nahitaji kununua iphone 11 plain, ni nzuri au niachie?

Ushauri: Nahitaji kununua iphone 11 plain, ni nzuri au niachie?

Jaribu kuwafuatilia na hawa jamaa.
👉🏿 Sony Xperia 1iii ,ni wakali wa hizi kazi wako vizuri.
 
2,utashindwa sababu umezoea kuingiza kwa jamaa wa kuburn cd,ambabo wengi hawajishughulishi na Itune.

3,kuanzia iphone xs max zinakuja na zenye line mbili pia,kwahi iphine 11 yenye line mbili ipo,itapendeza kama akaisaka hiyo kuliko ya line moja.
Hebu fafanue basi ni E sim au laini za kawaida mbili? Na kama ni Esim ,Kampuni ngapi za simu bongo zinatoa huduma hio
 
Iweke netflix yenyewe mkuu tufananishe

Hii ndio Netflix Mzee na sio hiyo Cloned copy ya Terrarium
IMG_3830.jpg
 
Back
Top Bottom